Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
YaniMliosoma kutushinda / kutuzidi na mnaojua vizuri Kiingereza kuzidi sisi tunaojua sana Kiswahili naomba ufafanuzi wa hii Sentensi tu ili nami nione kama kuna haja ya kumtafuta Ras Simba au haraka au hapana. Sentensi yenyewe ni kama ilivyoandikwa hapo juu na nainukuu..." There is a room in every situation " tuachane na hiyo ya sijui Dady is coming ambayo nayo pia tutaitafutia mjadala wake baadae usiku kuanzia Saa 4 ' Kichwa ' changu kikishachangamka.
"Hakuna linaloshindikana chini ya jua"