mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
KAMA JELA KUZURI MPELEKE MWANAO. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa heshima na taadhima usimfananishe bashite na don't carleon kabisa huyu choko sio mafya wala hafikii level ya mafyaKwa aliyewai kusoma tamthiliya ya THE GOD FATHER ya muandishi Mario Puzo atakuwa amemuelewa vizuri muheshimiwa,tafsiri avumilie kidogo anaingilia kati na mambo yatakuwa mazuri.
Ni story about the MAFIA ambapo God father alikuwa ashindwi kitu
Haki ya marehemu iko mbinguni mkuu,Yaani ndo ujue watu walivyo wanafki,marehemu hana haki saivi.
9 december connect the dotsSikukuu gani ipo karibuni?
Anamaanisha atampa vip quarter huko jela na kumfuata mara kwa mara usiku.
Yeah, he is coming...tarehe 9 Dec. ItapendezaDad is coming....
sentence nzito sana hiiMliosoma kutushinda / kutuzidi na mnaojua vizuri Kiingereza kuzidi sisi tunaojua sana Kiswahili naomba ufafanuzi wa hii Sentensi tu ili nami nione kama kuna haja ya kumtafuta Ras Simba au haraka au hapana. Sentensi yenyewe ni kama ilivyoandikwa hapo juu na nainukuu..." There is a room in every situation " tuachane na hiyo ya sijui Dady is coming ambayo nayo pia tutaitafutia mjadala wake baadae usiku kuanzia Saa 4 ' Kichwa ' changu kikishachangamka.
Dah wakuu BASHITE haachaji VITUKO..dah huyu jamaa.Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno haya kwenye picha ya Lulu aliyoambatanisha "Stay strong, dady is coming"
Kwanza najiuliza huyo dady ni nani? Pili Paul Makonda alistahili kwanza kuelewa kuwa hata mama yake marehemu Kanumba ana uchungu wa kumpoteza mwanaye kipenzi na kwa hakika Lulu alistahili hukumu.
Tufike mahali tuache kuweka mahaba kwenye kila jambo, mumeona mrembo amepata haki yake sasa mnaanza kulialia. Tuacheni kuweka mbele mahaba hadi kuzuia haki. Eti dady.....!
View attachment 630076
Una ufahamu mfupi kama nukta wa hukumu ya maiaji.
HahahahahhaaaaYeah, he is coming...tarehe 9 Dec. Itapendeza
msamaha wa mkulu!Maana yake Bashite anasubiri mkulu arudi ili amshauri amuachie Lulu!
Jajajajajajaja ngoja nicheke kispanyola leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daddy is coming....
View attachment 630106