Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Makonda bwana ....hiv kila sehem ujioneshe .fanya mambo kimya kimya ..saiv akitoka tutajua mkono wa dady umehusika....sio fair .kwan kanumba hana wazazi au mahakamani wote wajinga
 
Mahakama Kuu imemhukumu Mwigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael maarufu Lulu kwenda jela miaka 2 kwa hatia ya kuua bila ya kukusudia

Lulu alikuwa anakabiliwa na kesi ya kumuua bila ya kukusudia mwigizaji Steven Kanumba mwaka 2012 ambaye ilisekana walikuwa marafiki wa karibu.

Lulu alipelekwa kwa Mara ya kwanza Mahakama ya kisutu iliyopo Dar es salaam, akishtakiwa kuua bila kukusudia tarehe 7 mwaka 2012" "Ushahidi wa mazingira ni ushahidi ambao mstakiwa alikubali kwamba yeye ni MTU wa mwisho kuwa na marehemu ambapo mshtakiwa alikuwa na mahusiano na marehem kwa miezi 4"

Ushahidi wa mazingira unaweza kutumika kama msingi pekee wa kumtia hatiani mshtakiwa tena mshtakiwa pekee, Sasa ninapokwenda kuangalia maelezo ya mshtakiwa kama yanakidhi vigezo nilivyosema awali" "Kwa mujibu wa mshtakiwa alisema alianza kupigwa na marehem, Mshtakiwa alisema kuwa marehemu alilewa lakini kuhusu mshtakiwa anatakiwa kutoa Maelezo yanayo jitosheleza kwa hili mshtakiwa alijikanganya"

Mshtakiwa katika maelezo yake hakueleza kuwa marehemu alianguka au laah!! wakati anamkimbiza, Maelezo ya Dkt. Josephine siyo maelezo ya cheti cha hospitali hayakuwa na hadhi ya hospitali" "Inakinzana na hekima ya kawaida kwamba hata pale marehemu alipoendelea kumpiga na kumshambulia na akaenda kiwango cha kumtishia kumuua, mstakiwa hakuthubutu hata kumpiga..." Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' amekutwa na hatia ya kuua bila kukusudia na hukumu itatolewa baada ya mawakili wake kujitetea.

Lulu Akiwa Anaelekea Kusikiliza Hukumu


Mama Kanumba Amshukuru Mungu Haki Imetendeka Kwa Lulu Kwenda Jela


Lulu Sasa Azungukwa Na Kuta Nne Miaka 2 Jela
 
Mmh makonda hapa kazidi khaa kila kona anaweka pua yake. Dady means mchepuko,bae or? Tangu lini ana ubaba na Lulu au ndo kanumba part two?
Ni hivi, dady yuko safarini akirudi tu Lulu anatoka, kwani hujui kuwa dady yuko ziarani???
 
chezea Judge Rumanyika ww,daddy ndo chief justices wa court of appeal au??
 
Mnakonda aaache ujingaa... Ataingiza mahakama kwenye bifu lake then itamcost Lulu
haha kuna mtu nimemtukana huko nikadhani nipo jf sasa naona kasimkangu kanasuasua nahizi makirikiri wapo kazinihahaha nafwaaaaaaaaaaaa mkisikia nimetekwa munitafurie buji anapafahamu kwangu hahaha cc bujibuji
 
Kwani makonda hana baba mtoa uzi hujitambui ww!kanumba mbakajj popote alipo aongezewe moto
 
Makonda umekosea saanaa...sanaa..

Machozi ya Mama Kanumba hayatokuach.
 
Hii nchi hakuna maadili ya uongozi kabisa, vitu vingine mtu ukifikirini fake news siwezi kukushangaa.
Acha tu mkuu! Kiongozi mzima anakuwa mjinga hivyo? Mahakama imetoa hukumu kisha mkuu wa mkoa kwa kuendekeza tamaa zake za kimwili anaona kuwa haki haijatendeka kisha anashawishi rais atumie mamlaka yake kutengua hukumu. Huu ni ujinga na kutokujua miiko ya uongozi.
 
Back
Top Bottom