Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Acha tu mkuu! Kiongozi mzima anakuwa mjinga hivyo? Mahakama imetoa hukumu kisha mkuu wa mkoa kwa kuendekeza tamaa zake za kimwili anaona kuwa haki haijatendeka kisha anashawishi rais atumie mamlaka yake kutengua hukumu. Huu ni ujinga na kutokujua miiko ya uongozi.
Amemshawishi rais wapi

Wabongo bwana mmeshindikana
 
hii kitu niliiona kule kwenye account yake (bashite) ya instagram,nikataka ni-comment ki-jf,haraka sana roho yangu ikasita.

nahisi kabla mwaka huu haujaisha kuna mchezo utachezwa ili mtu fulani ajizolee point za bure kwa kupitia hii hukumu.

pia nahisi kuna mkubwa fulani yupo katika harakati za "kumtafuna" lulu kwa masharti fulani....mda utaongea.yetu macho.
 
Acha tu mkuu! Kiongozi mzima anakuwa mjinga hivyo? Mahakama imetoa hukumu kisha mkuu wa mkoa kwa kuendekeza tamaa zake za kimwili anaona kuwa haki haijatendeka kisha anashawishi rais atumie mamlaka yake kutengua hukumu. Huu ni ujinga na kutokujua miiko ya uongozi.
Kibaya kabisa nikwamba huyu jamaakwa sasa anaonekana hajaliwatu watasema nini, ukiangaliaanavyofanya kutoka anavyovaa mpakahizi posts zake nikama vile kashajiona untouchable fulani hivi.

Maswali ni mengi, anapata wapi nguvu ya kujiona hivyo? Kuna siri gani nyuma ya pazia inayompa confidence hivyo? Rais anajifanya kuwa mkali sana kwa viongozi kuhusu nidhamu ya kazi, huyu mbona anaachiwa afanye atakavyo?

Kuna nini knaendeleanyuma ya pazia kinachompa kiburi hiki huyu?
 
Nygax wewe ndio hamjui huyo Dady Kwa Bashite watu wanamjua huyo Dady anayemsema
 
Aiseee jamaa kaharibu mbaya. Sijapendaina maana wasio na "dady" ndo wanaozea jela. Basi wawasaidie na babu seya
Ni hivi, dady yuko safarini akirudi tu Lulu anatoka, kwani hujui kuwa dady yuko ziarani???
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Makomda atumbuliwe bana kiburi cha madaraka kimezidi
 
Makomda atumbuliwe bana kiburi cha madaraka kimezidi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
hii kitu niliiona kule kwenye account yake (bashite) ya instagram,nikataka ni-comment ki-jf,haraka sana roho yangu ikasita.

nahisi kabla mwaka huu haujaisha kuna mchezo utachezwa ili mtu fulani ajizolee point za bure kwa kupitia hii hukumu.

pia nahisi kuna mkubwa fulani yupo katika harakati za "kumtafuna" lulu kwa masharti fulani....mda utaongea.yetu macho.

Sio kweli,kwa sababu kubwa mbili: kwa wanaomjua Lulu watakucheka sana wakisikia eti kuna mkubwa inabidi atumie mzunguuuko woote kula ile papuchi iliyoenda mileage,kale katoto ni hela yako since kako 9 years old kanacheza kotekote,beki wa nyuma na mashambuliaji wa mbele,kana uzoefu mkubwa mno,more than a decade kuhudumia ma dusheeee hadi marehemu kepteni aliyefikia hatua ya kumnunulia corolla na kujenga nyumba tabata iliyoishia lenta na hiyo ilkuwa between 2009-2012
Pili,pamoja na kwamba reasoning ya watawala wa sasa ipo chini mno sidhani kama wanaweza kutumia kesi hii kuchukulia point za kisiasa wakati kanumba bado ana mashabiki wanao mmiss. kesi ya kuchukulia ujiko ni YA BABU SEYA TU na najua bashite atafanya yake pale
Kuhusu hiyo post ya bwana Daud albert,we mzoee tu kwani unaona hata dressing code zake?anapigiwa saluti na wanajeshi an mapolisi huku kaweka mikono mfukoni,anatembea na motorcade kubwa kuliko ya waziri mkuu,anagombana na wasanii club na kuamuru mziki uzimwe,he gives a zerofuck,yuko juu ya sheria na madharau kibaaaooooo.
 
Makonda atumbuliwe bana kiburi cha madaraka kimezidi
 
Acha ubwege we kijana na roho.mbaya dady yeyote ambaye anaweza kuwa baba kwa lulu na baba haimanish mapenz... Maana hata mwenyez mungu alisema ole wao wenye kuwaita wake zao kwa majna ya mama zao...(wanamwita mke mama au mume baba)

Okay acheni makonda andike anachojisikia mazal ajavunja sheria za nchi
 
Alaf kuna mtu simuoni umu au ndie yeye nn? Toka hukumu itolewa sijaona coment zakw
 
Aiseee jamaa kaharibu mbaya. Sijapendaina maana wasio na "dady" ndo wanaozea jela. Basi wawasaidie na babu seya
Uwezo wa kupambanua mambo ni zero. Ukiwa na mtoto akifeli mtihani wa darasa la nne halafu awe mwana mfalme unategemea nini?? Ila ategemee Dr Louis Shika atahusika kwenye maghorofa yake pia 2025.
 
Back
Top Bottom