Paul Makonda aonyesha Hisia Kali, amwagiwa Machozi kama mtoto wakati wa kuabudu

Paul Makonda aonyesha Hisia Kali, amwagiwa Machozi kama mtoto wakati wa kuabudu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Paul Makonda, alionyesha hisia kali wakati wa kuabudu na kushindwa kujizuia na machozi.
 
Anatubu nini kwani ?
Au ananena kwa lugha watu msisikie?
 
Paul Makonda, alionyesha hisia kali wakati wa kuabudu na kushindwa kujizuia na machozi.
View attachment 3173085
Kipeperushi cha Nashite kazini, leo peke yake umemfungulia nyuzi si chini ya 10 zote kwenye event moja.
Unachofanya ni kilal Paragrah unaifungulia uzi wa peke yake.
Kweli kama ni hiyo kazi ya kuuza miswaki iliyotumika, nikupe pole
 
Anatubu nini kwani ?
Au ananena kwa lugha watu msisikie?
Katika mambo yanayopotoshwa ni hili la kunena kwa lugha.
Lengo ya kunena kwa lugha lilikuwa watu wote wapate kusikia na kuelewa kwa lugha zao za asili (automatic translation).
Tafsiri potofu na zenye nia ovu zimebadilisha kanisa maana ya kunena kwa lugha kulikoandikwa kwenye maandiko matakatifu.
 
Back
Top Bottom