Kipeperushi cha Nashite kazini, leo peke yake umemfungulia nyuzi si chini ya 10 zote kwenye event moja.
Unachofanya ni kilal Paragrah unaifungulia uzi wa peke yake.
Kweli kama ni hiyo kazi ya kuuza miswaki iliyotumika, nikupe pole
Katika mambo yanayopotoshwa ni hili la kunena kwa lugha.
Lengo ya kunena kwa lugha lilikuwa watu wote wapate kusikia na kuelewa kwa lugha zao za asili (automatic translation).
Tafsiri potofu na zenye nia ovu zimebadilisha kanisa maana ya kunena kwa lugha kulikoandikwa kwenye maandiko matakatifu.