Paul Makonda: Arusha ni mji wa hela, hata wanasiasa wafanye siasa ya pesa tu

Paul Makonda: Arusha ni mji wa hela, hata wanasiasa wafanye siasa ya pesa tu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Kigamboni na Waziri mtarajiwa ameunguruma huko Arusha kama Simba Mbugani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

=========

Makonda amesema:

"Huu mji wetu sisi tunawaza hela tu yani hatuna mawazo mengine, tumekubaliana hata viongozi wa siasa, hata siasa yenyewe wanayoifanya waifanye ya pesa tu, kwa sababu wakifanya siasa ya maneno maneno ambayo haileti pesa kwetu sisi haina tija"
 
Hela mwambie kwanza dollar 1 sawa na 2700 aendelee kuongea na kithethe siasa ushawishi na kuleta fact hata yeye hana fact anaamini pesa ndo siasa kwa nchi zetu za dunia ya tatu ambayo hata kiongozi km yeye kuweka mali zake anakimbia kimbia ni ujuha
 
Huyu ni Mwamba

1725055882741.png
 
Back
Top Bottom