Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Mouber

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
216
Reaction score
216
Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya.
Katika Ukarasa wake wa Instagram Paul Makonda Ameanza kwa kuandika "Usiogope Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana“

Pia akaenda mbali zaidi na Kusema kuwa Mungu hajalala kama watu wanavodhani hii ikiwa na Maana kuwa kila akifanyacho yu Pamoja na Mungu na Mungu anamsimamlia kwa kile anachokifanya

“Wimbo unasema wewe ni Mungu usielala…………. Mungu wetu hajalala, mantiki ya Mungu kutokulala hachoki na kuna mahala nimekupa katika hii mistari anasema utataka jambo nawe litakua, imani utakayokua nayo itakusukuma kutaka jambo litakua“

“Mbwa Mwitu ni wale watu ambao wanabweka tu… unaanza jambo wanakubwekea kiasi kwamba wanakufanya mpaka unakata tamaa”

My Take:
Kwa wale watu ama Viongozi wanaoongea tu bila kuchukua hatua yeyote ile wao ni Kama mbwa mwitu tu ambaye anabweka bila Madhara yeyote kwa Hiyo Viongozi Kama Mkiupata Ujumbe huu Wa Ndugu Paul Makonda Muache Kubweka
 
Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!

Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??

Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
 
Wadanganyika nao sometimes wanaboa sana kutoa sifa kwa MTU wa kawaida na mpenda sifa matokeo Yake ndio haya anawakojolea anavyotaka " ......

Naomba awashugulikie maana wenyewe hamjui mnachokitaka ,Kukisimamia ,Na kukipenda ...

Mpo mpo tu kama popo Sasa kwa nini asiwageuze anavyotaka wadanganyika?...........
 
Nasubiria atakavyo msafisha Gwajima.Maana bado anamshikilia na kumfungulia tuhuma mpya kabisa baada ya ile ya madawa kugonga kwamba.

Kuchafua ni rahisi kusafisha MTU ni kazi kubwa.Nasubiria kama ataomba radhi kwa Gwajima au lah
 
Hivi Sugu si keshamwambia na yeye atajwe na Migwangala kwenye media ili akaripoti Polisi kwa tuhuma za uchoko halafu akapimwe na marinda

Jiwe limeshampata

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wabunge wenyewe drugs dealers na Ma drugs lord wote wabunge wanawajua na awajawai kujaribu kuwakemea,kuwazuia, kuwataja na Tanzania ajawai kufanyika Approach yoyote nzur ktk swala la drugs..mapolis wote, majaji wote, makamishina wote wanajua ni watu gani wanaingza na kusambaza madawa.

mwananch wa kawaida tu mtaani anajua nani Punda, nani kipunda na nani mswaga Punda..alichofanya makonda ni sawa tu ni bora kuwataja tu maana wauza madawa wanalindwa na wabunge,mapolis , IGP amesimamisha mapolis kazi wakati swala la makomeo,JB, Swai linajulikana toka miaka ya 2000 kuwa wanashirikiana na Mapusha wa unga.

.ni kweli Makonda amekosea sehem ila asingeweza kupatia kama wahusika wa moja kwa moja nao ni sehem ya madawa sasa swala la madawa linakwenda kinafiki ila alivyowataja ni sawa tu iwe kwa faida yake au kwa faida ya vizazi vyetu
 
Be positive Mr Rc, pokea yote maana kiongozi ni jalala, kumbuka kwamba wanaokupongeza wanakutia nguvu usonge mbele na wanaokukosoa wanataka ufanye vizuri zaidi, wote unawahitaji labda kama hufahamu, kosa kubwa utakalolifanya ni kukata tamaa, na hapo utatuonyesha kuwa ilikuwa mapema mno kupewa nafasi hii na lawama tutamtupia aliekuteua.
 
watu wanadhani intelligence system inafanya kazi blindly
 
Hawa watu wanaopenda kumtaja Mungu kila SAA wana walakini na wanafiki tu wamtumia Mungu ka chaka lakufichia tabia zao. Huyu makonda hupost nyimbo za Mungu lakini anachepuka na masogange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…