Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya.
Katika Ukarasa wake wa Instagram Paul Makonda Ameanza kwa kuandika "Usiogope Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana“

Pia akaenda mbali zaidi na Kusema kuwa Mungu hajalala kama watu wanavodhani hii ikiwa na Maana kuwa kila akifanyacho yu Pamoja na Mungu na Mungu anamsimamlia kwa kile anachokifanya

“Wimbo unasema wewe ni Mungu usielala…………. Mungu wetu hajalala, mantiki ya Mungu kutokulala hachoki na kuna mahala nimekupa katika hii mistari anasema utataka jambo nawe litakua, imani utakayokua nayo itakusukuma kutaka jambo litakua“

“Mbwa Mwitu ni wale watu ambao wanabweka tu… unaanza jambo wanakubwekea kiasi kwamba wanakufanya mpaka unakata tamaa”

My Take:
Kwa wale watu ama Viongozi wanaoongea tu bila kuchukua hatua yeyote ile wao ni Kama mbwa mwitu tu ambaye anabweka bila Madhara yeyote kwa Hiyo Viongozi Kama Mkiupata Ujumbe huu Wa Ndugu Paul Makonda Muache Kubweka
Jana Mbowe kasema 'ndio matatizo ya kuwapa madaraka watoto wadogo wasiokuwa na busara' nilikuwa sijamuelewa vizuri sasa nimeanza kumuelewa vyema
 
Wenzake wametaja sheria wakionyesha hana mamlaka ya kuita mtu kituoni.

Yeye analeta vifungu vya biblia na kwaya badala ya kuonyesha sheria inayompa ruhusa ya kuita watu mahakamani.

Bongo maendeleo ni ndoto.
 
asimhusishe Mungu kwenye huo utumbo wake, yule dogo amejaa wivu, roho chafu, chuki, visasi na anatumiwa na shetani tu. kwani haendi kwa waganga yule? au anataka yafumuliwe mambo humu siri zake?
Mkuu umo na wewe kwenye idadi ya wauza ngada maana si kwa povu hilo[emoji115] [emoji115]
 
Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!

Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??

Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
Wewe si unafuatilia habari za makonda pekee ndio maanahujui kama kuna walio kanusha ! Usiwe mfuasi wa mtu ,aana utakuwa mtumwa wake kuwa mfuasi wa mawazo yako
 
Hawa watu wanaopenda kumtaja Mungu kila SAA wana walakini na wanafiki tu wamtumia Mungu ka chaka lakufichia tabia zao. Huyu makonda hupost nyimbo za Mungu lakini anachepuka na masogange
Makonda anajiita mlokole
Msongati naye anajiita mlokole

Ulokole wenu kama chaka la kuficha madudu...
 
Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya.
Katika Ukarasa wake wa Instagram Paul Makonda Ameanza kwa kuandika "Usiogope Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana“

Pia akaenda mbali zaidi na Kusema kuwa Mungu hajalala kama watu wanavodhani hii ikiwa na Maana kuwa kila akifanyacho yu Pamoja na Mungu na Mungu anamsimamlia kwa kile anachokifanya

“Wimbo unasema wewe ni Mungu usielala…………. Mungu wetu hajalala, mantiki ya Mungu kutokulala hachoki na kuna mahala nimekupa katika hii mistari anasema utataka jambo nawe litakua, imani utakayokua nayo itakusukuma kutaka jambo litakua“

“Mbwa Mwitu ni wale watu ambao wanabweka tu… unaanza jambo wanakubwekea kiasi kwamba wanakufanya mpaka unakata tamaa”

My Take:
Kwa wale watu ama Viongozi wanaoongea tu bila kuchukua hatua yeyote ile wao ni Kama mbwa mwitu tu ambaye anabweka bila Madhara yeyote kwa Hiyo Viongozi Kama Mkiupata Ujumbe huu Wa Ndugu Paul Makonda Muache Kubweka
Screenshot_20170210-235006.png

anawaita watawala wenzie MBWA MWITU????
 
Hivi Sugu si keshamwambia na yeye atajwe na Migwangala kwenye media ili akaripoti Polisi kwa tuhuma za uchoko halafu akapimwe na marinda

Hana marinda huyo
Jiwe limeshampata

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eeeeeeeeenh,lini tena
 
Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?
 
Kama yale majina kwenye like karatasi ni kazi ya intelligence system yetu basi tupo nyuma sana.

Unakosea kuandika majina. Philomen Mbowe. Parm Beach. Unaandika Alfa Mbezi. Alfa Mbezi wapo wangapi?

Let's be serious.
wewe ndio huelewi ni yupi anamaanishwa..wenyewe wanajijua
 
Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!

Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??

Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
Wakikutana na Mhe Makonda nadhani wanapewa kitu mubashara- ushahidi wao hadi wanaona aibu. Nani aje akanushe tena? Thubuutu.....upupu umwagwe hadharani? Hata hivyo tu wameheshimiwa!
 
Sasa Mimi sijaelewa!! Kuna mbunge alisema kuna wabunge wanajihusisha na madawa ya kulevya na wapo humo ndani na kama atapa ridhaa ya mwenyekiti awataje!!! Je hii siyo kashfa ambayo ilitakiwa mbunge huyo adhibitishe!? Mnamwonea Makonda tu kwa sababu siyo mbunge?
 
Munaompinga makonda mupo ktk makundi haya....

Mateja
Mapunda
Wauza ngada

Mungu atawalaani wote .......
 
Makonda akisimama ni kama MUNGU kasimama.....hivi ni kweli amewahi kuongea maneno hayo....mimi binafsi SIAMINI....mwenye clip tafadhali weka tuwe na uhakika ili tuanze kumuombea na kumshauri atubu kosa hilo
Kazi ya kupiga vita madawa ya kulevya namuunga mkono mia kwa mia na nionavyo asilimia 98.99 ya DAR inamuunga mkono
 
Ningeshangaa sana vitaa hii iendelee bila vikwazo (resistance).!!!!! Ingekuwa sio vita labda kampeni!!!!

Ugumu, mitikiso, udhoofishaji na ubezaji unao jitokeza ndio maaana ya vita haswaa!!!!

RC Makonda pamoja na vyombo vyote kamwe msivunjike moyo!!!
 
Back
Top Bottom