Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

1. Hivi hii ni kazi ya RC kweli ?
2. Kwanini hakuwataja hapohapo badala ya kutishia?
3. Kama ni kweli kwanini asingepeleka wahusika chamani au Usalama?
4. Sidhani kama huyu mtu ni kiongozi bali ni mwaribifu miaka yote!
5. Kwanini asiaze na wale waliokuwa wanaua watu awamu ya 5
 
Wanao msema wanajulikana.
Tutamsaidia kuwataja hadharani endapo hawatajitekebisha.
 
Leo Jumatano lakini nyamitako hajawataja wafadhili wa Mange Kimambi,huyu achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kumfanganya Rais na kuleta mtafaruku ndani ya CCM, ni mchonganishi sana huyu mbwiga
 
Bashite huwa ana over confidence. Tena huwa anamdharau huyu SSH tangia akiwa Makamu wa Rais

hata saivi anajidai kujipendekeza kwake kinafiki tu
 

Hao mawaziri wameshatumbuliwa tayari
 
.
 
TIGO inaboresha maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…