Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.

Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.

Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
 
Sisi ndo tunaamini Cheo ni Hisani ya Mtawala na viongozi wapo wengi.

Wewe tuendelee kupiga jalamba tu hamna namna.

Nchi hii yetu sote kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi ila hisani ya mtawala itamwangukia nani?

Hilo ndio zoezi
 
Jembe lenye tuhuma nyingi za mauaji.

JEMBE hili lionekana huko Dodoma ,Lisu alipopigwa risasi, na Jembe hilo kuoneka likiondoka kwa kasi kubwa kurudi Dar.

Jembe hili lilihusika kuingia CLOUDS FM na mitutu.

JEMBE hili vile vile lilimteka Roma Mkatoliki.

Sasa Jembe halina kazi, linasemekana kujificha ili aliowaumiza wasijichukulie sheria mkononi.
 
Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni Makonda mwenyewe au mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.

Post nyingi sana anawatetea sana. Makonda hawezi kukwepa mkono wa sheria, labda afe mapema kama Mwendazake
Nikisema we ni mpuuzi nakosea?
 
nani7.jpg
paulodaudi.jpg
 
yote maisha kwan kabla hjawa mkuu wa mkoa aliishije,Vyeo vyenyewe unapewa afu n kusimangwa juu
 
Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka ,wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.

Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia Chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.

Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Alionywa sana na Magu asiache Ukuu wa Mkoa akakaidi sasa unataka abebwe kichwani? Wacha ujinga
 
Jembe lenye tuhuma nyingi za mauaji.
JEMBE hili lionekana huko Didoma ,Lisu alipopigwa risasi, na Jembe hilo kuoneka likiondoka kwa kasi kubwa kurudi Dar.
Jembe hili lilihusika kuingia CLOUDS FM na mitutu.
JEMBE hili vile vile lilimteka Roma Mkatoliki.

Sasa Jembe halina kazi, linasemekana kujificha ili aliowaumiza wasijichukulie sheria mkononi.
Atajificha mpaka lini? Kuna siku ataitwa kujibu tuhuma wewe subiri tu asidhani tumesahau ufedhuli wake wa kujiona mungu mtu
 
Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka ,wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.

Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.

Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Tanzania ina watu zaidi ya mil 60 sio lazima awe yy tu
 
Back
Top Bottom