Nifundishe Kunyamaza Mungu!Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Alionywa sana na Magu asiache Ukuu wa Mkoa akakaidi sasa unataka abebwe kichwani? Wacha ujingaKila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka ,wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia Chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Atajificha mpaka lini? Kuna siku ataitwa kujibu tuhuma wewe subiri tu asidhani tumesahau ufedhuli wake wa kujiona mungu mtuJembe lenye tuhuma nyingi za mauaji.
JEMBE hili lionekana huko Didoma ,Lisu alipopigwa risasi, na Jembe hilo kuoneka likiondoka kwa kasi kubwa kurudi Dar.
Jembe hili lilihusika kuingia CLOUDS FM na mitutu.
JEMBE hili vile vile lilimteka Roma Mkatoliki.
Sasa Jembe halina kazi, linasemekana kujificha ili aliowaumiza wasijichukulie sheria mkononi.
Tanzania ina watu zaidi ya mil 60 sio lazima awe yy tuKila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka ,wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.