Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni Makonda mwenyewe au mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.

Post nyingi sana anawatetea sana. Makonda hawezi kukwepa mkono wa sheria, labda afe mapema kama Mwendazake
Huyu bashite hana pakukimbilia anajua dhahiri ni swala la muda tu ataitwa kujibu tuhuma.
 
Sisi nado tunaamini Cheo ni Hisani ya Mtawala na viongozi wapo wengi.

Wewe tuendelee kupiga jalamba tu hamna namna.

Nchi hii yetu sote kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi ila hisani ya mtawala itamwangukia nani?

Hilo ndio zoezi
Facts
 
Hana lolote huyo MWIZI MUUAJI kama MWENDAZAKE
 

Kuna jingine kisongo. Ni Jadi mteuliwa na mteuzi kuwa wamoja!
 
Bashite siku zako zinahesabika, unatikiwa uwe Jela au unyongwe,
Kijipigia debe za teuzi kwa kua tu ”unamahusiano” na Samia haitakusaidia. Soma alama za nyakati Bashite.
 
Clouds walimponza sabaya. Naona wewe unamsagia kunguni bashinenga
 
Heated honey can actually produce delirious effects in the body and can be fatal at the same time.

"Asali ikichemshwa yaweza kuwa nzuri mwilini na wakati huo huo kuwa sumu mwilini".

Huenda kweli alikuwa hivyo awali lakini baada ya kupata moto hafai tena, ameshakuwa sumu.
 
Kumbuka jembe haliwezi kufanya kazi bila kuingizwa mpini
 
Kabla ajaondoka duniani ni lzm ataulipia uovu wake ni laws of nature, tawala uja tawala ubadilika.
Uliyemtenda leo kesho ndo boss wako.
 
Hivi kina Mo wanasubiri nini kulipiza hivi Hawaioni ile big booty
 
Unaongelea alomtaja tu, husisahau sisi tulolala makaburini kuakikisha anakuwa VP, wale walomfundisha shuleni etc tupo tu na njaa zetu tunasubiri.

Sasa nakushauri wewe na uyo koromije wako alokutuma mtulie tu
 
Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni Makonda mwenyewe au mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.

Post nyingi sana anawatetea sana. Makonda hawezi kukwepa mkono wa sheria, labda afe mapema kama Mwendazake
Mkuu kabsaaa huyu Ni Bashite mwenyewe...huyu anatakiwa Lupango kujibu shutuma sio tuhuma. Huyu kwenye nchi zilizo na utawala bora alitakiwa kunyea kwenye debe mda huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…