Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Alimpiga hadharani Waziri Mkuu msaaf Kaji Mkuu mstaaf Mzee wa Katiba babu wa wajuku mwenye watoto viongozi mpaka Mameya Huyu Bashite Makonda ni Mwanaharamu mkubwa hafai kabisa kwenye nchi ya watu wastaarabu
Right mkuuSisi ndo tunaamini Cheo ni Hisani ya Mtawala na viongozi wapo wengi.
Wewe tuendelee kupiga jalamba tu hamna namna.
Nchi hii yetu sote kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi ila hisani ya mtawala itamwangukia nani?
Hilo ndio zoezi
Kabisa MAKONDA ametesa sana watu na kawadharau sana wenye visomo na nafasi zao kisa kuliwa kiboga na Mwendazake. Jela hawezi kwepaMkuu kabsaaa huyu Ni Bashite mwenyewe...huyu anatakiwa Lupango kujibu shutuma sio tuhuma. Huyu kwenye nchi zilizo na utawala bora alitakiwa kunyea kwenye debe mda huu!!
USEDKila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
huyo nyangema hapo pembeni ni nani?!!Hana lolote huyo MWIZI MUUAJI kama MWENDAZAKE View attachment 1836299