Kama ya msiba ililiwa sembuse ya bodaboda. Bakini ujinganiMh Makonda nimesikia maelezo yako kupitia clouds fm.Swala lako kuhusu Umoja uliouanzisha wa waendesha boda boda na jinsi mlivyojipanga kuanzisha kiwanda cha boda sembe.
Kupitia michango ya wanachama 50,000@tsh 5,000=250,000,000 kwa mwezi.Kwa pesa hiyo naamini wanachama wanaweza kuanzisha viwanda na kusaidia ukuwaji wa uchumi.
TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
karili sio kalili.hivi huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga(in Faiza foxy writing)Tatizo umekalili
Kama ya huzuni ililiwa ya raha itakuaje? Kwa yale magari anayotembea nayo huo msafara lazima ulipiww na hiyo michangoUsikalili sio kila mchango ni rambirambi
Na wewe sio "Karili" ni Karirikarili sio kalili.hivi huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga(in Faiza foxy writing)
kariri sio karili. Hivi huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga(in Faiza foxy writing)karili sio kalili.hivi huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga(in Faiza foxy writing)