Paul Makonda nimekuelewa vizuri

Paul Makonda nimekuelewa vizuri

mtoto1980

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
534
Reaction score
525
Mh Makonda nimesikia maelezo yako kupitia clouds fm.Swala lako kuhusu Umoja uliouanzisha wa waendesha boda boda na jinsi mlivyojipanga kuanzisha kiwanda cha boda sembe.

Kupitia michango ya wanachama 50,000@tsh 5,000=250,000,000 kwa mwezi.Kwa pesa hiyo naamini wanachama wanaweza kuanzisha viwanda na kusaidia ukuwaji wa uchumi.
Tanzania ya viwanda inawezekana.
 
TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
Kama ya msiba ililiwa sembuse ya bodaboda. Bakini ujingani
 
Back
Top Bottom