Majohe iko Ilala Gongo la mboto DSM.
Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake.
Kusema ukweli anakutia aibu na serikali pia. nikisema sana yatakuwa majungu bora ufike mwenye ujiridhishe.
Hii ni ile barabara ya Kampala - jeshini- kanisani - mji mpya - Bwela hadi Rada.
Wanasubiri No 1 aende akatoe amri. Iko siku litatokea tukio litakalohitaji no. 1 aende kwa kutumia barabara hiyo ndiyo kila kitu kitafahamika.Daa niliiacha imefifa hapo Kona kwenye kota zao kumbe haijafika majohe bado?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna nini???Mkuu Kuna tanroad na tarura na wahandisi wa wilaya na mkoa waende wakachungulie wenyewe maana ndiyo kazi yao. Wasisubiri Rais aende huko na kukutana na maswali na maoni ya wananchi wa maeneo hayo.