Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ehh mungu nakuomba umpende zaidi huyu kiumbe wako aliye mwiba kwa watanzania, ili aje kuishi na wewe huko juu amina!"Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo wa ustahimilivu".- Paul Makonda