Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.