Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
we bwege unajua kazi ya katibu mwenezi wa CCM? We ndio wale washamba mazezeta siyo?Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
kwanza ujue hakuna mtu mpumbvu km wewe.Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Upepo wake umekata nilisema hapaNyamitako ameshapigwa pini na ziara zake za kipumbavu
KIllian ameongea leo na kusema wapinzani wanafanya kazi yake isiwe na maana maana wako kimya hakuna mikikimikiki. Sasa ngoma kucheza mwenyewe inagoma. Amesema kwakuwa wanapokea ruzuku basi wazitumie.Upepo wake umekata nilisema hapa
Mimi napinga na siyo mjinga na siyo mpumbavu. Kudhani Rais hajui matatizo ya watu wenye shida siyo kweli. Ana ziara za kutembelea sehemu mbalimbali na kupitia hizo ziara ana muda wa kujua hali za watu nchini. Hahitaji ziara za ziada kwa sababu hataweza kumaliza matatizo yote. Kinachotakiwa ni kuweka mifumo ya kupunguza umaskini maana matatizo yanazaliwa kila siku. Hata huko anakotembelea akitoka tu matatizo mengine yanaanza. Kupita mtaani na kwapa watu fedha siyo kutatua matatizo yao kwa sababu hataweza kuwapa wote wenye matatizo fedha na hata inawezekana ambao wamebaki nyumbani ndio wenye matatizo zaidi. Kutaka kuonekana unatatua matatizo ya watu siyo sifa ya uongozi. Nyerere anasifiwa kwa kuwa kiongozi bora lakini sijasikia kama alimpa mtu fedha. Ingawa alikuwa na mbinu nyingi za kujua matatizo ya watu. Mfano, nilipokuwa mdogo nilisikia kulikuwa na uhaba wa sukari nchini na yeye akavaa kama raia wa kawaida na kwenda kupanga foleni ya kupata sukari au wakati mwingine nilikuwa nasikia alikua akitumia magari ya kawaida kwenda sehemu mbalimbali bila watu kujua ni yeye.Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Una chuki Sana na wasukuma sijui wamekukosea niniNyamitako ameshapigwa pini na ziara zake za kipumbavu
Dhalimu alipora uchaguzi wa 2020 na kujaza wanaccm kote, hao wote hawawezi kumpatia picha halisi rais ya matatizo ya wananchi, Bali kupitia siasa za kiki ndio rais ajue matatizo ya wananchi! Matapeli mnakwama wapi?Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Kwa hiyo nchi nzima inamtegemea makonda afanye ziara ndipo kero zijulikane. Kufikia hapo basi serikali ishafail. Kama waliotajwa kwenye ripoti ya CAG mpaka leo wapo na wengine wamepandishwa vyeo na kuhamishwa hata azunguke nchi nzima hakuna kitakachobadilika maana aliyeshika usukani ni yule yuleMjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.