Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Akiwa anaongoza kwenye assist Primier ligue, Pogba anabaki kuwa mchezaji makini katika sector ya kiungo!!
Siku akiumwa basi jua wiki nzima mourinho atakua anaumwa na kichwa kwa gab lisilozibika la kiungo huyu makini aitwaye Pogba!!
Mpaka sasa mechi zote alizocheza hamna hata moja man united imepoteza!!
Mpaka sasa Pogba ana assist 9 akichuana vikali kabisa na Kelvin de bruine wa man city!
Pogba anaongoza kwa assist 9 na ana appearance chache kuliko viungo wote wanao ongoza assist katika ligi kubwa baran ulaya!
Paul Pogba, Manchester United: 13 appearances
Neymar, Paris Saint-Germain: 14 appearances
Philipp Max, FC Augsburg: 18 appearances
Pione Sisto, Celta Vigo: 19 appearances
Leroy Sane, Manchester City: 21 appearances
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances
Kwa influence yake ndani ya uwanja mourinho kampa nahodha msaidizi baada ya antonio valencia!
Pogba sio tu ni kiungo wa muhimu katika kikosi cha man united ila kwa sasa ndiye kiungo bora barani ulaya na duniani kwa ujumla!!
Assist king Pogba matches De Bruyne, Sane despite injury and suspension
These stats prove Paul Pogba is actually the best midfielder in Europe and NOT Kevin De Bruyne