Paula Makonda amuunga mkono Donald Trump kupinga ndoa za jinsia moja. Asema alizushiwa mengi sana alipokemea uchafu huo kufanyika hapa nchini

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC Marekani.

Ametoa kauli ambazo zimeitetemesha mpaka Ikulu ya Whitehouse Ya Marekani.

Soma hapa ujumbe wake mzito👎Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema anaunga mkono msimamo wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kudhibiti ndoa za jinsia moja na kusisitiza uwepo wa jinsi mbili pekee ya kiume na ya kike. “Ni jambo ambalo namshukuru Mungu sana kwa ajili ya Trump sijui ilikuwaje Mungu mwema sana mimi walinitosa miaka saba iliyopita walinikataa wakaniacha pekee yangu,” amesema Makonda.

Akizungumza Jijini Arusha Makonda amesema hatua ya Trump imethibitisha kuwa msimamo wake wa awali ulikuwa sahihi. “Sasa hivi wanalia tu ooh sasa unajua tulikuwa na mipango… mipango ipi wewe? Ya kubadilisha Mtoto wa mwenzako awe Mwanamke kutoka kuwa Mwanaume!? Yaani mipango ya kuharibu kizazi!?” amehoji.

Makonda amesema Tanzania ina misingi yake ya maadili na haipaswi kuiga kila kitu kutoka nje. “Na ndiyo maana Rais wa Tanzania Dkt. Samia kila siku anasema ‘maadili jamani, tusiige kila kitu.’ Naona hawa watu walishapenya, waliingia kwenye taasisi kubwa,” amesema huku akisisitiza kuwa suala hilo limekuwa na ushawishi mkubwa katika jamii.

Ameeleza kuwa alipotoa msimamo wake miaka iliyopita alipingwa na baadhi ya Watu waliomtaja kuwa anapinga haki za Binadamu. “Ilikuwa haki gani hiyo? Haki zilizokuwa zinatetewa ni kubadilisha Watoto wetu imebadilishwa kuwa haki ya Binadamu,” amesema Makonda na kuongeza kuwa aliwahi kukosolewa hata na wale ambao hawana pasipoti.

Makonda amesema mjadala huu unahusu mustakabali wa vizazi vijavyo na ameendelea kumuombea Trump. “Mungu amlinde Rais wa Marekani, amtunze, acha avuruge vuruge mpaka tukae sawa. Haijalishi anapatia au anaharibu, acha aende hivyohivyo mpaka tibuatibua, vumbi litajitenga na tutafika pazuri.”
#MillardAyoUPDATES

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Umerudiana tena na nyamitako? Unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Msilolijua kuhusu ushoga ni kwamba wengi wanafanyiwa,mtu kupinga ushoga haina maana hajakung'utwa,ni kwamba ni wahanga wakubwa

Wengi wamepata Vyeo Kwa kutoa Opera hivyo msiwasifie Sana.wengi wanajulikana

Hata mabasha au mabwana zao wanajulikana
 
Ameeleza kuwa alipotoa msimamo wake miaka iliyopita alipingwa na baadhi ya Watu waliomtaja kuwa anapinga haki za Binadamu. “Ilikuwa haki gani hiyo? Haki zilizokuwa zinatetewa ni kubadilisha Watoto wetu imebadilishwa kuwa haki ya Binadamu,” amesema Makonda na kuongeza kuwa aliwahi kukosolewa hata na wale ambao hawana pasipoti.

Makonda amesema mjadala huu unahusu mustakabali wa vizazi vijavyo na ameendelea kumuombea Trump. “Mungu amlinde Rais wa Marekani, amtunze, acha avuruge vuruge mpaka tukae sawa. Haijalishi anapatia au anaharibu, acha aende hivyohivyo mpaka tibuatibua, vumbi litajitenga na tutafika pazuri.”
#MillardAyoUPDATES
Ila kufuli iko palepale haruhusiwi kwenda US
 
Aache ufala waliomkana si ilikuwa serikali yake iliyomteua?

Halafu yeye anatuhumiwa kuwanyima watu haki ya kuishi hatujasahau na Marekani hawamtaki akanyage
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC Marekani.

Ametoa kauli ambazo zimeitetemesha mpaka Ikulu ya Whitehouse Ya Marekani.

Soma hapa ujumbe wake mzito👎Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema anaunga mkono msimamo wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kudhibiti ndoa za jinsia moja na kusisitiza uwepo wa jinsi mbili pekee ya kiume na ya kike. “Ni jambo ambalo namshukuru Mungu sana kwa ajili ya Trump sijui ilikuwaje Mungu mwema sana mimi walinitosa miaka saba iliyopita walinikataa wakaniacha pekee yangu,” amesema Makonda.

Akizungumza Jijini Arusha Makonda amesema hatua ya Trump imethibitisha kuwa msimamo wake wa awali ulikuwa sahihi. “Sasa hivi wanalia tu ooh sasa unajua tulikuwa na mipango… mipango ipi wewe? Ya kubadilisha Mtoto wa mwenzako awe Mwanamke kutoka kuwa Mwanaume!? Yaani mipango ya kuharibu kizazi!?” amehoji.

Makonda amesema Tanzania ina misingi yake ya maadili na haipaswi kuiga kila kitu kutoka nje. “Na ndiyo maana Rais wa Tanzania Dkt. Samia kila siku anasema ‘maadili jamani, tusiige kila kitu.’ Naona hawa watu walishapenya, waliingia kwenye taasisi kubwa,” amesema huku akisisitiza kuwa suala hilo limekuwa na ushawishi mkubwa katika jamii.

Ameeleza kuwa alipotoa msimamo wake miaka iliyopita alipingwa na baadhi ya Watu waliomtaja kuwa anapinga haki za Binadamu. “Ilikuwa haki gani hiyo? Haki zilizokuwa zinatetewa ni kubadilisha Watoto wetu imebadilishwa kuwa haki ya Binadamu,” amesema Makonda na kuongeza kuwa aliwahi kukosolewa hata na wale ambao hawana pasipoti.

Makonda amesema mjadala huu unahusu mustakabali wa vizazi vijavyo na ameendelea kumuombea Trump. “Mungu amlinde Rais wa Marekani, amtunze, acha avuruge vuruge mpaka tukae sawa. Haijalishi anapatia au anaharibu, acha aende hivyohivyo mpaka tibuatibua, vumbi litajitenga na tutafika pazuri.”
#MillardAyoUPDATES

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Basi omba mods wafanye mabadiliko ya bandiko lisomeke Paul!
 
ufirauni ni uchafu na chukizo kwa Mungu,

Lakini hawa waLiberali wa chadema na huyo kiongozi wao mpya kibaraka na tapeli wa siasa wanaona ni haki ya msingi ya binadamu kisa tu amepewa uraia..
 
Back
Top Bottom