Paula Makonda amuunga mkono Donald Trump kupinga ndoa za jinsia moja. Asema alizushiwa mengi sana alipokemea uchafu huo kufanyika hapa nchini

ufirauni ni uchafu na chukizo kwa Mungu,

Lakini hawa waLiberali wa chadema na huyo kiongozi wao mpya kibaraka na tapeli wa siasa wanaona ni haki ya msingi ya binadamu kisa tu amepewa uraia..
Mwambieni msanii wenu wa wasafi yule maana yeye kutwa kuambatana nao na anawaleaa

Ova
 
kweli kabisa! paulA noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…