si muhimu na wala hakuna haja πBaada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!
Hivyo ni wazi Mh Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa!
Huyo ni mhuni TU! Arudishwe wa Nini?si muhimu na wala hakuna haja π
Ndio maana yake alidanganya ππππkama tume ya haki za binadamu imemsafisha mh. pauline gekul ina maana yule kijana alidanganya? na kama alifanya udanganyifu kwa kwanini asichukuliwe hatua kwa defamation na kuzua taharuki kwenye jamii?
Uteuzi wa uwaziri ni discretion ya the pleasure of the appointing authority, and it's not right. Hivyo akitumbuliwa pia ni for pleasure tuu, haikuelezwa sababu, na akiteuliwa tena is the same.Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!
Hivyo ni wazi Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa!
PIA SOMA
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora yasema madai ya Mbunge Gekul kumfanyia kijana udhalilishaji hayakuweza kuthibitishwa
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuchunguza tuhuma za Pauline Gekul