Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge mstaafu wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema wananchi wa babati hawana deni kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan kwani ni kama ameipendelea Babati kwa kufanya mambo mengi makubwa.
Gekul ametoa kauli hiyo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za Samia mkoani Manyara ambapo amesema wananchi wa Babati watampa kura za kutosha Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Gekul ametoa kauli hiyo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za Samia mkoani Manyara ambapo amesema wananchi wa Babati watampa kura za kutosha Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.