GE2025 Pauline Gekul: Samia ametufanyia mengi hatumdai, ila yeye anatudai

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge mstaafu wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema wananchi wa babati hawana deni kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan kwani ni kama ameipendelea Babati kwa kufanya mambo mengi makubwa.

Gekul ametoa kauli hiyo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za Samia mkoani Manyara ambapo amesema wananchi wa Babati watampa kura za kutosha Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu si ndo alimtia kijana wa watu chupa la mnduku? Ngoja tumuongeze kwenye list8 j
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…