Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo tena ambae mwili wake ulidhoofu kwa madawa ya kulevya. Tasnia ya muziki ina ushindani mkubwa kwa sasa anaweza 'asitoboe' lakini inatoa faraja kumuona kwenye hali aliyonayo.
Pia, soma=> Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana
Kulia ni msanii Pauline Zongo kwenye picha ya karibuni baada ya kupata matibabu dhidi ya madawa ya kulevya
Kipindi ambacho inadaiwa Pauline alikuwa anatumia madawa ya kulevya