Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

... 90% of our problems chanzo ni sisi wenyewe! Hilo neno ulilotumia ni kujaribu kutafuta wa kumtupia mzigo lakini kiukweli chanzo kikuu cha matatizo yetu ni sisi wenyewe! Alipoanza kutumia madawa ya kulevya kwa mara ya kwanza alishikiwa bastola?
Huja hujaumbika haya ni maisha na usijione uko perfect 💯 binadamu tuna mapungufu hakuna mkamilifu
 
Back
Top Bottom