Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo tena ambae mwili wake ulidhoofu kwa madawa ya kulevya. Tasnia ya muziki ina ushindani mkubwa kwa sasa anaweza 'asitoboe' lakini inatoa faraja kumuona kwenye hali aliyonayo.
Apambane sasa maana alifikia pabaya sana, na hivi alipata accident akaakaa hospital muda mrefu akapoteza matumaini ya maisha
Ukijiona umepata changamoto nzito sana za maisha ukawa bado kuna matumaini kidogo yapo kwa mbele jua Mungu yupo karibu sana na wewe tumia huo mwanya kidogo kupambambana hakika utatoboa
Pauline Zongo: Mungu angekuwa binadamu, angekuja akashuka hapa akaongea, unajua kwa mfano ukasingiziwa kitu ambacho hujakifanya, inaumiza sana. Situmii Bangi, madawa ya kulevya. Pombe huwa nagusa nisiwe muongo.
Inauma sana , kwa sababu mtu anaongea kitu kama hicho. Twende tukapime si kuna maabara! Tukimaliza mtanlipa? Unanichafua. Hivyo vitu sivitumii, siwezi kumuogopa binadamu hata wakiongea si poa tu, Mungu nimemshirikisha.
Sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda kwa ajili ya wapumbavu walioamua kuharibu miili yao kwa upumbavu wao wenyewe! Ni nini kisichoeleweka kuhusu matumizi ya narcotics? Taifa lina mengi ya kufanya kuliko kupoteza resources na muda unecessarily.
Sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda kwa ajili ya wapumbavu walioamua kuharibu miili yao kwa upumbavu wao wenyewe! Ni nini kisichoeleweka kuhusu matumizi ya narcotics? Taifa lina mengi ya kufanya kuliko kupoteza resources na muda unecessarily.
Sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda kwa ajili ya wapumbavu walioamua kuharibu miili yao kwa upumbavu wao wenyewe! Ni nini kisichoeleweka kuhusu matumizi ya narcotics? Taifa lina mengi ya kufanya kuliko kupoteza resources na muda unecessarily.
Uko sahihi ila jiandae kukumbana na mkono wa sheria. Elimu yooote ya matumizi ya madawa ya kulevya iliyokwisha tolewa; athari zake ambazo kila mtu anazijua yet kuna wajinga wanajiingiza humo halafu tuwaonee huruma! Never!
Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo tena ambae mwili wake ulidhoofu kwa madawa ya kulevya. Tasnia ya muziki ina ushindani mkubwa kwa sasa anaweza 'asitoboe' lakini inatoa faraja
1. Vitu ambavyo huwa vimekatazwa kwenye jamii huwa ni vitamu na vigumu kuviacha na madhara yake ni ya waziwazi na ya muda mrefu na hata ukifanikiwa kuacha yanakuachia makovu
2.Mvuta BHANGI huwa kuna madhara ya kuonekana lakini yeye hajioni. Hata kama akiwa mzee vipi ongea yake, tembea, tembea yake na mavazi yake , wanajiona ni vijana milele.
Mipango yao ni ya kibangibangi kutokana na jinsi bhangi inavyomuongoza, kuna wanaokuwa wapole sanaa na hawafanyi ualifu, kuna wanaokuwa wakorofi na kufanya ualifu, kuna wanaofanya kazi sana lakini mipango ni ya kibangibangi , kuna wanaokuwa vichaaa, hayo madhara kwao hawayaoni lakini jamii inawaona sii watu wa kawaida. Wao wanabaki kuiabudu na kuotukuza kwa kuipa majina mbalimbali
Ni rahisi sana mtu wa bhangi kupanda daraja na kuingia kwenye madawa ya kulevya
Mirungi ililetwa na jamii ya wasomali waliokuwa nchini kwa usafirishaji hasa malori ya zamani ya FIAT na ilianza kuenea kwa waumini wa dini ya hao wasomali ambao waliwaona ni remodel wao katika dini kwa sababu wanashabihiana na waarabu na wakadhani wakiwaiga kila kitu basi wameipata culture ya dini.
Asilimia kubwa ya watafuna majani hayo ya hovyo yanayotafunwa kama mbuzi kwa kuchanganya na soda inayotengenezwa na mmea huo huo unaotengeneza cocaine ni watu watokao maeneo ya Kondoa na maeneo mengi ya pwani. Haya majani nayo huaribu ubongo kwa kitu kiitwacho handasi na mtumiaji anskuwa na uraibu wa kudumu kujaza midomo kwa majani
Hakuna adhabu kubwa itakayotolewa na Mungu zaidi ya adhabu itakayotolewa kwa wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya ( LAANA YA MUNGU IWE JUU YAO WAO NA VIZAZI VYAO VYOTE)
Wapo watu kwenye jamii wanajenga mpaka nyumba za ibada kwa fedha wazipatazo kwa biashara hizo haramu lakini amini nawaambia nyumba hizo za ibada wanazojenga wakati Mungu anaona fedha wanazipatia wapi hazitafuta madhambi yao bali zitutumika kama MATANURU YA KUWACHOMA WAO NA UZAO WAO MILELE
Hapo sasa safari yake ndio imeanza rasmi..... anayo kazi kubwa kuhakikisha arudi kule aliko toka na anabaki clean zaidi.... ni mapema sana kusema amemaliza kazi lakini inatia moyo kuona ameaianza safari njema.
Namtakia kila la kheri......
Wauza madawa wanatakiwa kupigwa risasi au kifungo cha maisha.