Mkuu Paul Dybala ni fundi kuliko hata huyo HiguanNamuelewa pia
Ila vizuri zaidi ungetuwekea takwimu zake hapa
Amecheza mech ngap
Udadi ya goals alizofunga
Assist na vitu vinginevyo
Hapo ndio tujue anaingia katka iyo level unayoisema
But kwa sasa Juve ni HIGUAN tu
Zile penati zake huwa najiuliza anazipigaje!!Huyu dogo kailetea Juve balaa huko Serie a,penati yake ya dk ya 97 juzi iliiua Milan 2-1,Donnaruma aliwasumbua sana maforward wa Juve throughout tthe match anadaka hadi milingoti kuhakikisha Juve hawashindi ile mechi.
Kuona vile wakamuundia zenngwe,Higuain kalenga shuti mkononi mwa beki,penati wakapata Juve,mjomba Dybala akamwambia Donnaruma hapa bwamdogo nakutia adabu siku nyingiine usijifanye wewe ni Buffon,na nakupelekea huko huko kulia unakoruka tuone kama utaidaka!Donnaruma kajinyoosha hadi kucha lakini wapi,.nyavu ndogo zinatikisika na mpira umeisha!akapigapiga nyasi za Juventus stadium hakuridhika,akataka kumtwanga refa,kocha wake Montela akamzuia,hasira zake akawaambia wachezaji wenzie kule locker room wakachanachana banners zote za Milan zilizobandikwa ukutani,wakaona haitoshi wakang'oa na viti vya locker room,Hivi Juve hawajamaliza kutengeneza viti vyao leo zamu ya Casillas nae kanyooshwa na Dybala huyu huyu!sijui viti vimesalimika huko.Waache kumpa penati huyu dogo anautia hasara uwanja wa Juve!
Higuan mviziaji, ila huyu dogo ndo anapeleka timu mbele.Mkuu Paul Dybala ni fundi kuliko hata huyo Higuan
[emoji23]Wenger anakwambia hamna wachezaji wakali zaidi ya alio nao......ulaniwe wenger
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli alaniweWenger anakwambia hamna wachezaji wakali zaidi ya alio nao......ulaniwe wenger
Ataweza kuvunja rekodi ya dunia?. Juvu lazima watake dau kubwaHuyuu dogo inabid nimushauri mzee wetu Wenger amufatilie na amuleteee
Mkuu huyu n mu Argentina..Bonge la playmaker. New messi Wa italy
RashfordKatika madogo wanaokuja juu
Paulo Dybala
Gabriel Jesus
Ousmane Dembele
Moussa Dembele
Kylian Mbappe
Julian Weigl(huyu mtamu sana anavyopiga simple pass kama Sergio Busquets)
Kuna dogo pia yupo Arsenal, Donyell Malen(baada ya msimu huu naye namtabiria makubwa sana)
Yote tisa, kumi namuelewa sana Marco Verratti
Nahisi alimaanisha italy kutokana na timu anayoichezea, Juventus ni ya italia hakumaanisha uraia.
Kuna mtoto mmoja anaitwa da Silva anacheza Monaco laia wa ureno kama kweli umepewa nafasi ya kumuangalia huyo Dogo utafulahi Mwenye clips take naomba aweke na Nina uhakika hata cheza tena next season pale Monaco
Kweli unamjua dogoBenardo Silva,anavaa jezi no. 10, yule fundi
Mkuuu serious????higuian??mm n mshabk damu wa arsenal but nmeamua kushabkia juve ili tukzngua arsenal juve anipe raha.nadhan n mech mbl tatu tuu za juve msimu wa 2016/2017 ambazo sijazchek.amini huguian ni mtamu,ila dybala utamu umezidiii.huo ni moto wa kuotea mbali kaka.waulze ac milan juz kat hapoNamuelewa pia
Ila vizuri zaidi ungetuwekea takwimu zake hapa
Amecheza mech ngap
Udadi ya goals alizofunga
Assist na vitu vinginevyo
Hapo ndio tujue anaingia katka iyo level unayoisema
But kwa sasa Juve ni HIGUAN tu