Paulo Dybala ni Messi ajae

Paulo Dybala ni Messi ajae

Lionel Messi hadi sasa ni kiumbe ambae hatujui ametokea sayari gani kiufupi ni kiumbe Wa ajabu.

Ukijaribu kung'amua macho kwenye league zote hamna Wa kumlinganisha na huyu jamaa.

Ila ukipita pita kwa jicho yakinifu unakuja kuona dogo Paulo Dybala akiendelea kupiga kazi Kama anayoonyesha sasa Kama baada ya miaka kadhaa basi upako Wa kiumbe huyu[Lionel Messi] anaweza kuupata.

Basi kwa ujumla Paulo Dybala itakuja kumridhi mikoba ya Mu-argentina mwenzie kiumbe cha ajabu[Messi]
Messi ni kiumbe kingne katika sayar hii
 
mkuu messi wakati anamiaka 20 tu ..Tayari alikuwa ameshauweka ulimwengu wa Moira wa miguu mikononi mwake ...
huyo Paulo dybala NI bonge LA mchezaji ila hafikii level za genius messi hata kidgo

huyo Dogo aliwahi kusema kuwa hana maelewano mazuri na messi wanapokuwa ktika team ya taifa ..na Dhani alikuwa anachkizwa na ule ufalme anaopewa Jamaa ...
sasa bwana ktika ile mechi ya mwisho ya kufuzu kombe LA dunia Russia Dogo mwenyewe alimfuata LA pulga na kumuomba radhi baada ya mechi ...achana kabisaaa na messi

kiumbe ambaye anamshauri coacher mchezeshe flani Fulani asicheze ..kiumbe ambaye anayeishauri body mnunueni Fulani ..Fulani msimnunue ..mpaka barca ilipomsajili paulinho ulikuwa niushauri wa messi watu walibeza mnooo leo waonaje team imesimama nampaka sasa haijafungwa hata mechi moja ...huyo kocha wa barca wa sasa ni pendekezo LA messi ...

yule Jamaa achana nae co mtu ni jini

Kumbe Paulinho pia ushauri wa messi dah !!!!!! WAMECHEMKAAAAAAA
 
geeeez walicho chemka ninini ""? sasa wakati msimu umeisha umeiona team imechukua vikombe viwili "" au hilo kwko ni jambo Dogo ""..? ..usisahau kuwa msimu mmoja barca walikosa vikombe vyote "" so tunaweza kusema kuwa msimu huu ulioisha barca imeweza kutimiza nusu na robo ya malengo Yke ""...."" So waweza kutuonyeha walipo chemsha ??
 
Namzungumzia Paulinho. naona ameishia Bench
 
Mkuu itakuwa hauifuatulii barca aisee..mbona Jamaa kacheza mnooo msimu uliopita ..ila baada ya kuja coutinho hiyo ndio imekuwa changamoto kiasi kwake ""... then kwa upande mwengine kucheza barca imekuwa sehemu yenye mantiki kubwa mnoo kwake maana amefanikiwa kushinda mataji ambayo hakuwa amewahi kuyashinda maishani mwake na kwa umri wake alionao kabla ya kuja barca nadhani alikuwa ameshakata tamaa ya kuwa sehemu ya wachezaji waliowahi kushinda taji la laliga ""...
 
Sijapinga kama Paulinho kutua Barca ni mafanikio kwake.Lakini kama timu umenunua mchezaji bomu kabisa.
Barca kununua midifield ata kutuliza mpira vizuri hawezi ni aibu kabisa. na ataendelea kuwa mchezaji wa akiba tu.
Xavi na Puyol wameponda sana usajili wa barca jinsi ulivommbovu.
 
Duuuuhh ....wewe Jamaa utakuwa na chuki binafsi "" ..nikweli paulinho hafikii viwango vya xavi wala iniesta lakini unasahau kuwa hao watu uliowataja ni gifted hawakuwa na viwango vya kawaida kiuchezaji ....na sio kweli kwamba "" p..hawezi hata kutuliza Mpira uneshaangalia idadi ya pasi za magoli na mabao aliyoyafunga msimu ulioisha "".....? .... na barca walimchukua Jamaa kama mchezaji wa kipindi cha mpito sio mchezaji wa kumtegemea kwa kipindi cha kuanzia miaka 5s......wamefanya hivyo huku wanajipnga kutafuta mbadala stahiki wa hao manguli
 
Nashkuru upo mzima wa afya, na mimi pia hivyo hivyo namshukuru Mungu...nikweli tunapishana, sometimes nakuona umataifani ukishusha nondo za ukweli 😀😀..upo vizuri Kamanda wangu!
Ha hahah haha ...nashukuru chief....huwa na kwenda kule ilinipate kujifunza bwana ...na bila shaka wewe nimoja ya madarasa yanayonipatia ufahamu
 
Duuuuhh ....wewe Jamaa utakuwa na chuki binafsi "" ..nikweli paulinho hafikii viwango vya xavi wala iniesta lakini unasahau kuwa hao watu uliowataja ni gifted hawakuwa na viwango vya kawaida kiuchezaji ....na sio kweli kwamba "" p..hawezi hata kutuliza Mpira uneshaangalia idadi ya pasi za magoli na mabao aliyoyafunga msimu ulioisha "".....? .... na barca walimchukua Jamaa kama mchezaji wa kipindi cha mpito sio mchezaji wa kumtegemea kwa kipindi cha kuanzia miaka 5s......wamefanya hivyo huku wanajipnga kutafuta mbadala stahiki wa hao manguli

unatumia karibu milioni 35 alafu unasema kwa ajili mchezaji wa mpito? Barca wana serious problem kwenye midfield zaidi ya mwaka wa tatu alafu bado tu watafute mchezaji wakipindi cha mpiito? moja ya sababu kuu ya kushindwa kufanya vizuri ulaya ni tatizo hilo kama hufahamu mkuu.
Na Barcalona ni moja ya timu bora, na ili uwe bora lazima uwe na wachezaji bora sio kina Paulinho, kwaio wanahitaji wawe na wachezaji bora hata kama sikama Xavi lakini wawe walio bora kitika mda huu.
 
Manchester united hilo tatizo lipo toka aondoke roy kean akaja scholes ferguson aliumia akili mno viungo kibao wamepita hapo lakin wap na bado hadi muda huu sasa huyo jamaa kama anafikir hilo suala la barcelona ni la muda asubir aone watatoa pesa za kutosha tu
 
Mkuu usisahau kuwa tuna " academia Yetu ya la masia pale "na inafanya vizuri mnooo tu imetoka kuchukua kombe la uefa kwa vijana ambao ni under18 ".... so unafanya makosa mnooo kutufananisha na man u ".. team ambayo haijawahi kutoa mchezaji wa maaana katika academia yao "" tangu kile kizazi cha class of 92 kipotee""......

dos.2020 ....nikweli barca ni team bora kabisa duniani ili iweze kutoa ushindani katika soccer inapaswa kuwa na wachezaji wenye viwango vya xavi na iniesta....lakini kuwapata haraka haraka kama unavyodhani sio kazi ndogo ""... maaana generation ya sasa bado haijaweza kuwa na wachezaji matata wenye usawa wa viwango walivyonavyo hao wachezaji .....""Paul nimchezaji wa mpito ndio usipinge ..umri wake wa miaka 31 ...unaonyesha fika kuwa hana muda mrefu atakuwa ameshachoka kuitumikia Barcelona ndio ..so bodi ya club inalitambua hilo ndio na Nina hakika wapo kwenye mchakato wakumtafuta mbadala haswaaa wa hao manguli walioondoka .....soon utaona vijana toka LA masia wakipandishwa kwenye kikosi kikubwa "" huku Paul akishiriki kukava nafasi yao ""ili vijana hao waweze kuwa nauzoefu zaidi ....
..SUBIRI MUDA UTAONGEA
 
mkuu messi wakati anamiaka 20 tu ..Tayari alikuwa ameshauweka ulimwengu wa Moira wa miguu mikononi mwake ...
huyo Paulo dybala NI bonge LA mchezaji ila hafikii level za genius messi hata kidgo

huyo Dogo aliwahi kusema kuwa hana maelewano mazuri na messi wanapokuwa ktika team ya taifa ..na Dhani alikuwa anachkizwa na ule ufalme anaopewa Jamaa ...
sasa bwana ktika ile mechi ya mwisho ya kufuzu kombe LA dunia Russia Dogo mwenyewe alimfuata LA pulga na kumuomba radhi baada ya mechi ...achana kabisaaa na messi

kiumbe ambaye anamshauri coacher mchezeshe flani Fulani asicheze ..kiumbe ambaye anayeishauri body mnunueni Fulani ..Fulani msimnunue ..mpaka barca ilipomsajili paulinho ulikuwa niushauri wa messi watu walibeza mnooo leo waonaje team imesimama nampaka sasa haijafungwa hata mechi moja ...huyo kocha wa barca wa sasa ni pendekezo LA messi ...

yule Jamaa achana nae co mtu ni jini
hivi bado hawajafungwa mpaka sasa au?
 
Back
Top Bottom