Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

Hayo ni maigizo tu anacheza filamu ..hawez kuchukuliwachatua za kisheria
 
Hapo pasipo kuchunguza makosa mengine ya hicho chombo na dereva wake, tayari wana makosa mawili ya kutovaa helmet ambapo fine yake ni sh30,000@
Mgema akisifiwa...
 
Kama alimpiga waziri mkuu mstaafu kwa mikono yake mwenyewe na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake sasa unategemea nani atamchukulia hatua kwa kuoanda pikipiki..
 
Una ushahidi gani kuonyesha kama pikipiki ilikuwa kwenye mwendo?

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga-Faizafoxy wa Jamiiforums.
 
haya ww kubenea tumekusikia, nenda kaiandike kwnye gazeti lako la mwanahalisi si ndo zako. lkn kaa ukijua hilo gazeti lako huku kitaa hatulisomi tena ila 2nalitumia kufungia vitumbua na kababu
 
Hizo ndio durty tricks, jamaa wanacheza na medias..,
 
yeye anadhani ni sifa kupanda bodaboda, sasa ngoja tuone double standard za police
 
Una ushahidi gani kuonyesha kama pikipiki ilikuwa kwenye mwendo?

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga-Faizafoxy wa Jamiiforums.
hahahah, mkuu mbona unajitoa ufahamu kiasi hikoo?? Punguza mahabaa hayo hata kama umependa buaaanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…