Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

haishangazi akakanusha kama alvyokanusha kumfunga Riz kamba za viati na kudai si yeye!
Aliikanusha kwa kukupigia simu wew chumbani kwako? Ni habari ambayo kaipotezea sababu haikuwapo ila nyie bavicha mmeikomalia kupata airtime.
 
Duh nashangaa wanaposema pengo la Kanumba halizibiki wakati tuna wenye vipaji wengi kweli kutoka chama kikongwe maana kika siku wako location wana rekodi maigizo.
 
Duh nashangaa wanaposema pengo la Kanumba halizibiki wakati tuna wenye vipaji wengi kweli kutoka chama kikongwe maana kika siku wako location wana rekodi maigizo.
mkuu huu usanii umezidi ni zaidi ya bongomovies
 
kama imekuuma kale malimao ukweli ndo huo
Aliikanusha kwa kukupigia simu wew chumbani kwako? Ni habari ambayo kaipotezea sababu haikuwapo ila nyie bavicha mmeikomalia kupata airtime.
 
Hiyo pikipiki haitembei,alikuwa anajaribu kukaa kwenye hiyo bike,kama anaenea kwenye kiti cha abiria
 
Ameanza kutafuta kick na sifa kama za mzee mzima Mutuz
 
...hahhahaha tena hayo ni makosa ya wazi kutokuvaa Helment,vipi dereva ana leseni?boda boda ina vibali
 
Angevaa mngejuaje kama nini yeye wakati lengo ni kuonekana hata yeye anapanda bodaboda
 
mkuu wa mkoa nae yumo? nakumbuka story ya wazir fulan aliwahi kuegesha gar vibaya vijana wa parking wakabaki kuamkia tu shikamoo boss badala ya kumuambia gar limekaa vibaya
 
Hiyo picha bado sio ushahidi kwa vile ni vigumu kuthibitisha kama walikuwa katika mwendo au walikuwa wamesimama akitoa maelekezo au demo!
 
Back
Top Bottom