barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Aliikanusha kwa kukupigia simu wew chumbani kwako? Ni habari ambayo kaipotezea sababu haikuwapo ila nyie bavicha mmeikomalia kupata airtime.haishangazi akakanusha kama alvyokanusha kumfunga Riz kamba za viati na kudai si yeye!
Hata akiumia ni kidogo tu, na kidogo yenyewe atapelekwa Indiakwa sababu mwili wake ni wa chuma?
alikuwa anafanya nini? asije kuwa alikuwa anaigiza movie ya kutovaa he,emt na athari zake
yuko kwenye movie akivaa helment nani atamuona ?