Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
 
Acha kujificha kwenye ndago CHADEMA ni pinga pinga hamuishiwagi visingizio kiujumla hamtutaki mema isipokuwa mmeungana na sisi kwenye tukio la Jaquar kwa sababu aliwagusa wasukuma wanaofanya biashara ya nyama choma pale Nairobi
 
Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Tatizo ni kwamba Bashite anawaza the opposite na anadhani yuko sahihi, Waswahili walishasema sikio la kufa halisikii dawa 💉
 
Back
Top Bottom