Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Timu ni ya ccm kama na wewe ni ccm sasa ni timu yenu...Watu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ni ya ccm kama na wewe ni ccm sasa ni timu yenu...Watu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
We *FUSO* mbona unapunguza magoli? Mi nimemwua Taifa star na goli afungwe kuanzia tano. Na mhindi hachomoki hapa dadek.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Keshatuharibua timu yetu!! na leo ni 4 mtungi mambegesa.
Timu inatekeleza ilani ya ccm By bashite na polepole, we endelea kusubiri tuWatu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
Nimeshangaaa!!Yupo na Manula acha wivu
Yupo na Manula acha wivu
Hahaha!Heee...kumbe Manula anafaidi!?
Madagascar wameshiriki Mara ya ngapi hii? Wameshika nafasi ya ngapi? Tumia akili acha kufuata mkumboWadau mwacheni Makonda na hata Taifa stars wakamilishe ratiba na waage vizuri mashindano muwe na kiasi bhana msiponde na kukosoa kupitiliza wapeni heshima kidogo tu ya angalau kushiriki hii michuano mara ya 2 kwa zaidi ya miaka 39 wanastahili hiyo heshima......
Hivi bado tu yuko huko?
Timu ni ya chama na inatekeleza ilani ya chamaWatu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
Kuna baadhi ya wa-TZ ni kama wameisusia Taifa Stars baada ya Bashite kuingia humo
Mwenyewe hizi tetesi nimeanza kuzisikia siku nyingi sana
Timu kaiteka mzee wa kuteka, acha wapigwe tu, leo nasubiri kuishangilia AlgeriaWatu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
Wale was Ccm stars wajiandae kwa kipigo cha mbwa koko mpaka wachakaeTimu kaiteka mzee wa kuteka, acha wapigwe tu, leo nasubiri kuishangilia Algeria
Ungetumia akili ungeelewa nilichoandikaMadagascar wameshiriki Mara ya ngapi hii? Wameshika nafasi ya ngapi? Tumia akili acha kufuata mkumbo