Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Keshatuharibua timu yetu!! na leo ni 4 mtungi mambegesa.
We *FUSO* mbona unapunguza magoli? Mi nimemwua Taifa star na goli afungwe kuanzia tano. Na mhindi hachomoki hapa dadek.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wadau mwacheni Makonda na hata Taifa stars wakamilishe ratiba na waage vizuri mashindano muwe na kiasi bhana msiponde na kukosoa kupitiliza wapeni heshima kidogo tu ya angalau kushiriki hii michuano mara ya 2 kwa zaidi ya miaka 39 wanastahili hiyo heshima......
Madagascar wameshiriki Mara ya ngapi hii? Wameshika nafasi ya ngapi? Tumia akili acha kufuata mkumbo
 
Mbwa akikuzoea sana atakufuata mpaka msikitini
 
Kuna baadhi ya wa-TZ ni kama wameisusia Taifa Stars baada ya Bashite kuingia humo

Huyu anayeitwa Bashite siku atakapoanguka sijui itakuwaje....yaani ni Mkuu wa Mkoa tu lakini namna anavyoongelewa utadhani ni Waziri Mkuu au Katibu Mkuu wa CCM...Yaani anaongelewa zaidi ya waziri...dah....This is a cruel world
 
Timu kaiteka mzee wa kuteka, acha wapigwe tu, leo nasubiri kuishangilia Algeria
Wale was Ccm stars wajiandae kwa kipigo cha mbwa koko mpaka wachakae
 

Attachments

  • Screenshot_20190701-210630.png
    Screenshot_20190701-210630.png
    25.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom