Huo ndio ukweli, ndio maana kuna TFF sio ccm .. siasq hakunaga kwenye soka.Kuna baadhi ya wa-TZ ni kama wameisusia Taifa Stars baada ya Bashite kuingia humo
Acha kujificha kwenye ndago CHADEMA ni pinga pinga hamuishiwagi visingizio kiujumla hamtutaki mema isipokuwa mmeungana na sisi kwenye tukio la Jaquar kwa sababu aliwagusa wasukuma wanaofanya biashara ya nyama choma pale NairobiImetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Tatizo ni kwamba Bashite anawaza the opposite na anadhani yuko sahihi, Waswahili walishasema sikio la kufa halisikii dawa 💉Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Anamchosha yule kijana kuleUongo mbaya akae tu ili vipigo vihitimishwe.
Kijana gani mkuu?Anamchosha yule kijana kule
Mimi mmoja wapo.Kuna baadhi ya wa-TZ ni kama wameisusia Taifa Stars baada ya Bashite kuingia humo
Bashite kasema timu ni ya CCM na inatekeleza ilani ya CCM,ifungwe tu hata goli saba.Watu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
Aiyaaaaah!!!!Aishiye Mang'ula nasikia kajiolea kijana mwenye mahispsi na bonge la ms2ambwanda kutoka Kolomije.........
Ohooooooh!!!!!!Anamchosha yule kijana kule
Na sijui ingeshinda mambo yangekuwaje! Timu ingetembezwa nchi nzima ikiwa imevalishwa mashati ya kijani kama sehemu ya kampeni.Bashite kasema timu ni ya CCM na inatekeleza ilani ya CCM,ifungwe tu hata goli saba.
Jamaa ana kimavi si cha nchi hii.Na sijui ingeshinda mambo yangekuwaje! Timu ingetembezwa nchi nzima ikiwa imevalishwa mashati ya kijani kama sehemu ya kampeni.
Mungu akataa hilo
Naunga mkono hoja, aendelee kukaa tufungwe, harudi na timu amkabidhi aliyemtuma. Tujifunze.Uongo mbaya akae tu ili vipigo vihitimishwe.
Mimi pia.Mimi mmoja wapo.