Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Hivi kumbe bado aling'ang'ania ?
 
Ccm ashanyooshwa sahv wanajianda kupaki mabegi

Ova
 
Mjaa laana huyo
Acha tuchapwe hata goli mia
** sports hili jukwaa ndio leo sina mahaba nayo lakini kwa mjaa laana alivyojipendekeza tutaongea wengi
Acha tufungwe
Tunawapa mori wifi na shemeji zetu Wakenya
 
Ccm ashanyooshwa sahv wanajianda kupaki mabegi

Ova
Hiyo ndio imetoka watakuja kurudi Tanzania imeshikwa na wapinzani na ccm kimeshakufa wakati huo ndio timu ya Watanzania itang'ara kwa kuwachochea hao Waarabu mabao mpaka basi.
 
Tulishauri aondoke hakusikia mnaona sasa ubishi wake na gundu lake?
Alimdanganya Rais hadharani kuwa aende watashinda na Rais akatamka hadharani kuwa "umesema ukienda tutashinda, basi nenda haraka maana tunapenda kushinda"
"Uongo" ndio hata mwenzake wanayeshindana naye kutafuta kiki Ndugai akasema anamdanganya Rais
 
Wanafiki Ni watu wabaya Sana sasa ngoja tusikie atamwambiaje baba yake akirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…