Paundwe Wizara ya Uchumi wa Bluu (Ministry of Blue Economy)

Paundwe Wizara ya Uchumi wa Bluu (Ministry of Blue Economy)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy?

Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
 
Tuna bahati na maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa in kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy? Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu
Do we have a National economic structure ? Mfumo wa uchumi wa taifa ambao hauwezi kuchezewa na chama tawala
 
Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy? Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
Usanii sanii tu. CCM imefanya watanzania mambumbumbu.
 
Mtoa mada amekurupuka tu bila kufanya tafiti, hakuna kitu ambacho kimezuia mazao yatokanayo na bahari au ziwa zimeshindikana kwa kutokuwa na vizara anayoitaja....
 
Zanzibar tayari Kuna hiyo Wizara, Je, wananufaika zaidi kuliko bara ambao Bado hawana hiyo Wizara?
 
Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy?

Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kama wewe, hawawezi kukuelewa hawa, ndio maana wengine wanakuuliza Zanzibar wananufaika vipi?
 
Kwanini wasiwe na kitenga ndani ya Wizara ya Fedha na Mipango au Uwekezaji.
 
Back
Top Bottom