Do we have a National economic structure ? Mfumo wa uchumi wa taifa ambao hauwezi kuchezewa na chama tawalaTuna bahati na maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa in kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy? Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu
Ukitaka kuwekeza usiangalie Gharama za mwanzoUnataka kutuongezea mzigo mwingine bila tija yoyote!
Usanii sanii tu. CCM imefanya watanzania mambumbumbu.Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy? Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
Mazao ya bahari ambayo kwa sasa hatuyavuni ni yepi?Ukitaka kuwekeza usiangalie Gharama za mwanzo
Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kama wewe, hawawezi kukuelewa hawa, ndio maana wengine wanakuuliza Zanzibar wananufaika vipi?Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy?
Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
Wanauza MwaniZanzibar tayari Kuna hiyo Wizara, Je, wananufaika zaidi kuliko bara ambao Bado hawana hiyo Wizara?