Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye uzoefu tujuzane. Kutengeneza mwenyewe paving Blocks au Kununua kipi nafuu? Kuna mafundi wameniambia mfuko mmoja wanachaji 6,000/- na unatoa vitafali 100-120. Kupanga Napo ni makubaliano mengine kwa sqm
Nipe tenda hiyo nije na mashine hapo site nikufyatulie vya uhakikaWenye uzoefu tujuzane. Kutengeneza mwenyewe paving Blocks au Kununua kipi nafuu? Kuna mafundi wameniambia mfuko mmoja wanachaji 6,000/- na unatoa vitafali 100-120. Kupanga Napo ni makubaliano mengine kwa sqm
Site ipo wapi na sqm ngapi?Weka mkeka...
For Class of 8 MPa we can produce for 600 per piece.SQM 100, Dege Kigamboni
Kivipi kaka? Paver moja tunakutenvenezea kwa tsh 600. Hiyo 8mpa ni kipimo cha pressure ambayo hiyo paver inaweza stabimili. Kwa lugha rahisi ni kwamba hiyo paver ata upitishe lorry lenye tani 30 halimegukiUmeniacha!
Okay...hizo kama za Strabag siziwezi wacha nibanane na fundi Maiko na wenzie.Kivipi kaka? Paver moja tunakutenvenezea kwa tsh 600. Hiyo 8mpa ni kipimo cha pressure ambayo hiyo paver inaweza stabimili. Kwa lugha rahisi ni kwamba hiyo paver ata upitishe lorry lenye tani 30 halimeguki
Nimekuelewa sanaKivipi kaka? Paver moja tunakutenvenezea kwa tsh 600. Hiyo 8mpa ni kipimo cha pressure ambayo hiyo paver inaweza stabimili. Kwa lugha rahisi ni kwamba hiyo paver ata upitishe lorry lenye tani 30 halimeguki
Nitafutie tenda mzeya hadi matofali skze tofauti machine zipoNimekuelewa sana
Tengeneza kutu quality...yaani hizi mzee unapakia kwenye tipa tunazimwaga...zikivunjika nakupa million 10 papo hapo.Okay...hizo kama za Strabag siziwezi wacha nibanane na fundi Maiko na wenzie.
Mkuu weka za bei yetu..hizo za tani 30 achana nazo, sasa mimi ndani kwangu gari ya tani 30 inafata nnTengeneza kutu quality...yaani hizi mzee unapakia kwenye tipa tunazimwaga...zikivunjika nakupa million 10 papo hapo.