Paving Blocks: Kutengeneza au Kununua, kipi nafuu?

Paving Blocks: Kutengeneza au Kununua, kipi nafuu?

Mimi nauliza hivi vi concrete blocks kwa ajili ya garden bei yake kwa moja inakwendaje?
Na vina ukubwa cm ngapi kwa kimoja?

IMG_20211220_200630.jpeg
 
Kivipi kaka? Paver moja tunakutenvenezea kwa tsh 600. Hiyo 8mpa ni kipimo cha pressure ambayo hiyo paver inaweza stabimili. Kwa lugha rahisi ni kwamba hiyo paver ata upitishe lorry lenye tani 30 halimeguki
Mkuu ndani ya nyumba ya mtu lini zitapita lorry ton 30 mbona wataalam mnataka kufanya maisha yazidi kuwa magumu?

Weka maelezo mepesi watu waelewe kiwepesi.
 
Mimi nakushauri nunua mkuu na kabla ya kununua unajiridhisha ubora kwa ku test kama utaweza
Duuh umenikumbusha mkandari mmoja alipewa tenda ya kujenga madarasa,Sasa mkuu wa shule na kamati yake wakaenda kucheki ujenzi unaendeleaje.Ile wamefika tu mkuu wa shule akawa anabeba tofali 1 baada ya kingine analidondosha chini halafu anasema ona huyu jamaa anajengea matofali au biskuti?

Alipodondosha tofali la 6 ,mkandarasi alichomoa bastola mwl akawekewea silaha chini ya kidevu akaambiwa nikiileta familia yangu kwako unaweza kuwapeleka chooni?Mwl alienda kulazwa kwa pressure.

So mtoa mada awe Makini wkt ana test hizo kitu.
 
Mkuu hizo sq mt ni chache kwa kufyatua gharama haipungui plus muda
Angalia hapa

Mahitaji ya kufyatua
Cement mifuko 60x15000=900, 000
Ufundi tsh 6000×60=360, 000
Mchanga lorry kubwa tsh250, 000
Rangi kg 25 tsh 180, 000 original
Maji lt 3000 kufyatua na kumwagilia
Jumla 1, 690, 000
Bado gharama za maji hapo na mtu wa kumwagilia

Kununua
Square mita 1 tsh 15, 000×100=1, 500, 000/=
Utagharamia usafiri tu hapo ambao gharama zake zinategemea na umbali

Ukihitaji ni pm tufanye biashara
 
Hesabu zako zina make a lot of sense.
 
Tengeneza mwenyewe!Hizi za kununua nyingi hazina ubora na huwa zinapukutika baada ya muda mfupi.Tengeneza zako na wake ratio nzuri na mwagilia vizuri mwenyewe.
 
Mkuu hizo sq mt ni chache kwa kufyatua gharama haipungui plus muda
Angalia hapa

Mahitaji ya kufyatua
Cement mifuko 60x15000=900, 000
Ufundi tsh 6000×60=360, 000
Mchanga lorry kubwa tsh250, 000
Rangi kg 25 tsh 180, 000 original
Maji lt 3000 kufyatua na kumwagilia
Jumla 1, 690, 000
Bado gharama za maji hapo na mtu wa kumwagilia

Kununua
Square mita 1 tsh 15, 000×100=1, 500, 000/=
Utagharamia usafiri tu hapo ambao gharama zake zinategemea na umbali

Ukihitaji ni pm tufanye biashara
Kufyatua anayoa pavement 100 kwa mfuko za kununua wanayoa 180 hadi 200 kwa mfuko.
 
Mkuu hizo sq mt ni chache kwa kufyatua gharama haipungui plus muda
Angalia hapa

Mahitaji ya kufyatua
Cement mifuko 60x15000=900, 000
Ufundi tsh 6000×60=360, 000
Mchanga lorry kubwa tsh250, 000
Rangi kg 25 tsh 180, 000 original
Maji lt 3000 kufyatua na kumwagilia
Jumla 1, 690, 000
Bado gharama za maji hapo na mtu wa kumwagilia

Kununua
Square mita 1 tsh 15, 000×100=1, 500, 000/=
Utagharamia usafiri tu hapo ambao gharama zake zinategemea na umbali

Ukihitaji ni pm tufanye biashara
Mkuu naona upo fair,
Maeneo mengi 1sqm=23,000-25,000
Naona wewe ni 15,0000.
 
Mkuu hizo sq mt ni chache kwa kufyatua gharama haipungui plus muda
Angalia hapa

Mahitaji ya kufyatua
Cement mifuko 60x15000=900, 000
Ufundi tsh 6000×60=360, 000
Mchanga lorry kubwa tsh250, 000
Rangi kg 25 tsh 180, 000 original
Maji lt 3000 kufyatua na kumwagilia
Jumla 1, 690, 000
Bado gharama za maji hapo na mtu wa kumwagilia

Kununua
Square mita 1 tsh 15, 000×100=1, 500, 000/=
Utagharamia usafiri tu hapo ambao gharama zake zinategemea na umbali

Ukihitaji ni pm tufanye biashara

Vp kuhusu ubora? Kwako
 
Kivipi kaka? Paver moja tunakutenvenezea kwa tsh 600. Hiyo 8mpa ni kipimo cha pressure ambayo hiyo paver inaweza stabimili. Kwa lugha rahisi ni kwamba hiyo paver ata upitishe lorry lenye tani 30 halimeguki
Hivi mafundi wengine akili zenu zikoje? Unamwambiaje mtu anatengeza pave za nyumbani kwake ambako hatutegemei kuwepo na vitu vizito vinavyopita, atumie grade hiyo?
 
Back
Top Bottom