Paving Blocks: Kutengeneza au Kununua, kipi nafuu?

Wenye uzoefu tujuzane.

Kutengeneza mwenyewe paving Blocks au Kununua kipi nafuu? Kuna mafundi wameniambia mfuko mmoja wanachaji 6,000/- na unatoa vitafali 100-120.

Kupanga napo ni makubaliano mengine kwa sqm
Kwa bei za mtaani 1sqm ni tsh 15,000. Hizo ni pc 50 kwa maana kila pc 1 ni 300 achana na hao wa 600
 
Hivyo Vitu Vinapendezesha Nyumba Sana Tatizo Vikiwekwa Utasema Umeibiwa Maana Unaweza Tengeneza Vingi Vikachukua Sehemu Ndogo Vyote Vimeisha
 
Kivipi kaka? Paver moja tunakutenvenezea kwa tsh 600. Hiyo 8mpa ni kipimo cha pressure ambayo hiyo paver inaweza stabimili. Kwa lugha rahisi ni kwamba hiyo paver ata upitishe lorry lenye tani 30 halimeguki
Kama paver moja unatengeneza kwa 600, na mfuko mmoja tuseme unatoa paver 100 so mfuko mmoja unachaji 600x100=60,000/= ina maana mfuko mmoja wewe unachaji afu 60? Hii ni akili ya wapi?
 
Kama paver moja unatengeneza kwa 600, na mfuko mmoja tuseme unatoa paver 100 so mfuko mmoja unachaji 600x100=60,000/= ina maana mfuko mmoja wewe unachaji afu 60? Hii ni akili ya wapi?
Sijakupata mkuu
 
Gharama ni kama zile zile,na kama unaeneo dogo itakusumbua sanaa.Bili ya maji ilikuja laki 2 na kitu nakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…