Pawn Shops nchini Tanzania

Ohoo, so nikienda sehemu kama hiyo naweza pata vitu kwa bei nafuu kwa walioshindwa kugomboa.
 
Boss kwanini hii idea tusifanyie kazi, ila inataka manpower kubwa. Kuanzia kwa wathamishaji wa mali, walinzi, nk
For long ni nzuri sana itakulipa mno ukishajenga jina.
 
Unaanza na bidha ambazo unaweza kuzithaminisha mwenyewe mkuu.

Ila mlinzi lazima maana unaweza kuchezea muda wowote.

Hadi sasa hakuna aliyenijibu kama kisheria inaruhusiwa hapa nyumbani.
 
Mbona hii biasahara ipo imejaa mtaanni watu wanapoteza vitu vyao kila siku, wanapeleka tv na kadhalika kwa hawa wakopeshaji wakishindwa lipa wanauza.
 
Unaanza na bidha ambazo unaweza kuzithaminisha mwenyewe mkuu.

Ila mlinzi lazima maana unaweza kuchezea muda wowote.

Hadi sasa hakuna aliyenijibu kama kisheria inaruhusiwa hapa nyumbani.

Jambo ni jipya katika mipaka yetu. So ni vyema uka act in a early, iliuvune mpaka usaze, serikali ikishaweka sheria za kumlinda mlaji hauitolipa tena pia competition itaongezeka.

Nakumbuka Moja ya interview ya Jack Ma
Alisema kuwa mjasiliamali unatakiwa kuingia au kujiingiza kwenye mchongo ambao ni mipya. Maana yake uingie kwenye maeneo ambayo serikali haijatengeneza regulations zake huko. with few formalities like license ya biashara, TIN nk. unaweza kuanza, huku ukisubiri kupewa maelekezo sahihi.
 
Unaanza na bidha ambazo unaweza kuzithaminisha mwenyewe mkuu.

Ila mlinzi lazima maana unaweza kuchezea muda wowote.

Hadi sasa hakuna aliyenijibu kama kisheria inaruhusiwa hapa nyumbani.

Kisheria hakuna sheria inazitambua
 
Dah mimi mwenyewe kuna nguo babu yangu alipewa na SULTAN enzi hizo nilitamani kuziuza ,nilishawahi kupeleka sehemu za makumbusho naona majamaa wananichukulia poa tu"" huyu si MKULIMA TU""
 
SASA WE JAMAA UNATAFUTA HAYO MAMBO KARIAKOO WAKATI KILA BIASHARA MJINI NI PAWN BUSINESS..BAR,MAMA NTILIE,MANGI...HAWA JAMAA WANA VIFAA VINGI VYA WAKOPAJI UTAFIKIRI SACOSS
 
Hapana mkuu..mimi nilikuwa nauliza ofisi ambayo kisheria inafanya hiyo kazi tu.

Mama ntilie gani mkuu nikipeleka kito changu atanipa milioni 1. Naomba nielekeze nina shida.

Nipo mkoani Dar Vingunguti.
 
Mkuu shida inawezakuwa ni uhitaji wa mkopo wa pesa na kuna hawa jamaa wanakopesha kwa riba licha ya kwamba ni kubwa lakini mchakato wake ni mrefu.

Sasa hayo maduka yangekuwepo inamaana unaenda na kitu/ bidhaa yako wanaithaminisha unaacha hapo wanakupatia mpunga unatembea. Sifikirii kama hapa kwetu wapo na wanajulikana kisheria.
 
Hapana mkuu..mimi nilikuwa nauliza ofisi ambayo kisheria inafanya hiyo kazi tu.

Mama ntilie gani mkuu nikipeleka kito changu atanipa milioni 1. Naomba nielekeze nina shida.

Nipo mkoani Dar Vingunguti.
Ah ah sikia kila eneo lina taratibu na watu wanaofanya kitu flani...usa,ulaya wenzetu wameendelea ndo wana hizo pawn shop ..bongo hapa nenda kisaccoss chochote acha funguo ya gari upewe hata million 10 ujue tu riba yao 20%-30% kwa mwezi ka ukiweza
 
Hapo ndipo swali langu lilipokuwa Monk..

Kwanini sasa sheria hairuhusu au hakuna wateja?
 
Ah ah sikia kila eneo lina taratibu na watu wanaofanya kitu flani...usa,ulaya wenzetu wameendelea ndo wana hizo pawn shop ..bongo hapa nenda kisaccoss chochote acha funguo ya gari upewe hata million 10 ujue tu riba yao 20%-30% kwa mwezi ka ukiweza
Asante saana mkuu...nimeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…