Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ohoo, so nikienda sehemu kama hiyo naweza pata vitu kwa bei nafuu kwa walioshindwa kugomboa.Naomba nikueleze kwa mfano maana sijui kiswahili chake.
Nafungua Ofisi... unapatwa na shida ya pesa lakini una gari/laptop/chochote kile...
Unakuja unakileta kwangu nakupatia pesa kwa makubaliano.
Baadae unarudisha pesa yangu na cha juu nakupatia kitu chako...
Ukishindwa kurudisha pesa kwa muda tuliokubaliana nauza.