Mbona zipo sana sema mitaji ni midogoHabari zenu wakuu.
Swali langu ni kuhusu hizi ofisi Tanzania. Kwanini pawn shops nchini mwetu hazina umaarufu. Na ni mara chache kuzipata kabisa hata sehemu za mijini.
Shida nini? Mfumo wa maisha au sheria zetu haziruhusu? Kama zipo naombeni mnifumbue macho. Sehemu kama Kariakoo nilitegemea ingekuwa nazo za kutosha.
Natanguliza shukurani.
Kwa sababu wabongo wengi hawana vitu ya thamani.Na wakija na vitu vyao wanakuwa na lengo la kuviuza na sio kuweka dhamana.So unakuta kitu cha laki mtu anataka umpe 90 au gari ya Milioni 10 mtu anataka milioni 8 wakati katika pawn shops unapewa maximum 30% ya actual value ili usishidwe kugomboa ila ukishindwa unapoteza yote.So ndo maana kuna watu wana yard za magari ya watu ambao wamekopa na kuyapaki.Kwa hiyo sheria inaruhusu uwepo wake mkuu!
Kwanini unadhani wenye mitaji mikubwa hawawekezi huko?
Ila lengo la pawn sio kuuza mkuu. Ni kuweka kwa muda.Kwa sababu wabongo wengi hawana vitu ya thamani.Na wakija na vitu vyao wanakuwa na lengo la kuviuza na sio kuweka dhamana.So unakuta kitu cha laki mtu anataka umpe 90 au gari ya Milioni 10 mtu anataka milioni 8 wakati katika pawn shops unapewa maximum 30% ya actual value ili usishidwe kugomboa ila ukishindwa unapoteza yote.So ndo maana kuna watu wana yard za magari ya watu ambao wamekopa na kuyapaki.
Hapo ndipo swali langu lilipokuwa Monk..
Kwanini sasa sheria hairuhusu au hakuna wateja?
Sijawai kuona Tanzania japo nahisi kitu hiki kinafanyika sanaHabari zenu wakuu.
Swali langu ni kuhusu hizi ofisi Tanzania. Kwanini pawn shops nchini mwetu hazina umaarufu. Na ni mara chache kuzipata kabisa hata sehemu za mijini.
Shida nini? Mfumo wa maisha au sheria zetu haziruhusu? Kama zipo naombeni mnifumbue macho. Sehemu kama Kariakoo nilitegemea ingekuwa nazo za kutosha.
Natanguliza shukurani.
Ila wale huitwa Prawns, kwa kiswahili wanaita kamba.Kumbe tuko wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi najua Pawn samaki mpaka nikataka kusema hivi pawn walivyojaa Mpaka mtu anawaulizia
Okay nimeielewa sasa. Nadhani zipo lakini si rasmi.Naomba nikueleze kwa mfano maana sijui kiswahili chake.
Nafungua Ofisi... unapatwa na shida ya pesa lakini una gari/laptop/chochote kile...
Unakuja unakileta kwangu nakupatia pesa kwa makubaliano.
Baadae unarudisha pesa yangu na cha juu nakupatia kitu chako...
Ukishindwa kurudisha pesa kwa muda tuliokubaliana nauza.
Ila wale huitwa Prawns, kwa kiswahili wanaita kamba.
Kuna ishu ya usalama wa kifaa chako pia, maana kumuachia ni jambo moja na kuja kurudishiwa kifaa chako tena kikiwa salama pale unapomaliza deni ni jambo lingine.Kumbe hii pawn shop Haina tofauti sana na hii mikopo ya kuweka kitu Kama dhamana..!! 🤔..tatizo kuruhusiwa kisheria kumbe..
Habari zenu wakuu.