Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Mbona zipo sana sema mitaji ni midogoHabari zenu wakuu.
Swali langu ni kuhusu hizi ofisi Tanzania. Kwanini pawn shops nchini mwetu hazina umaarufu. Na ni mara chache kuzipata kabisa hata sehemu za mijini.
Shida nini? Mfumo wa maisha au sheria zetu haziruhusu? Kama zipo naombeni mnifumbue macho. Sehemu kama Kariakoo nilitegemea ingekuwa nazo za kutosha.
Natanguliza shukurani.