Mkurya romantic
Member
- Jul 21, 2022
- 41
- 61
Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafanya kazi poa kabisa. Nmekuwa nikiitumia 2014 mpaka leo. Zingatia; inapokea malipo toka kwa makampuni tu si mtu binsfsi. Ukilipwa na mtu binafsi hiyo pesa wataikataa na kuirudisha.Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
thanks nduguInafanya kazi poa kabisa. Nmekuwa nikiitumia 2014 mpaka leo. Zingatia; inapokea malipo toka kwa makampuni tu si mtu binsfsi. Ukilipwa na mtu binafsi hiyo pesa wataikataa na kuirudisha.
Pia haipokei wiretransfers, ikitokea umetumiwa wiretransfer pesa itapotea haitafika kwao itarudi ilikotoka baada ya week kadhaa au hata mwezi.
Yenyewe inapokea local transfers tu. Mfano kama ni EUR ulipwe via SEPA
Kama ni USD ulipwe kwa ACH
Kama ni pound ulipwe kwa Direct Debit
Ukishapokea hiyo pesa utaweza withdraw via atm au uksihamishia kwenye local bank via wiretransfer.
mkuu habari, nakwama kwenye verification ya residential address kwenye account ya payoneer. Nimeweka bank statement wamekataa, nimeweka mkabata wa pango bado nawasikilizia..Inafanya kazi poa kabisa. Nmekuwa nikiitumia 2014 mpaka leo. Zingatia; inapokea malipo toka kwa makampuni tu si mtu binsfsi. Ukilipwa na mtu binafsi hiyo pesa wataikataa na kuirudisha.
Pia haipokei wiretransfers, ikitokea umetumiwa wiretransfer pesa itapotea haitafika kwao itarudi ilikotoka baada ya week kadhaa au hata mwezi.
Yenyewe inapokea local transfers tu. Mfano kama ni EUR ulipwe via SEPA
Kama ni USD ulipwe kwa ACH
Kama ni pound ulipwe kwa Direct Debit
Ukishapokea hiyo pesa utaweza withdraw via atm au uksihamishia kwenye local bank via wiretransfer.
Tumia bank statement yenye physical address. Yani chukua bank statement edit weka jina la mtaa, namba ya mtaa, na house namba.mkuu habari, nakwama kwenye verification ya residential address kwenye account ya payoneer. Nimeweka bank statement wamekataa, nimeweka mkabata wa pango bado nawasikilizia..
Nitumie nyaraka gani ili niwe verified easily...
Asante mkuu, niliwatumia rental agreement naona bado hawajajibu. Kuna dola zangu kadhaa toka kwa client zinakwama huko.Tumia bank statement yenye physical address. Yani chukua bank statement edit weka jina la mtaa, namba ya mtaa, na house namba.
Hawa wana imagine mambo yetu kama ya kwao
Wakiikataa we fanya kuedit bank statementAsante mkuu, niliwatumia rental agreement naona bado hawajajibu. Kuna dola zangu kadhaa toka kwa client zinakwama huko.
Aiseh, thanks mkuu. Wameukubali mkataba wa pango na kumaliza verification....na sasa funds zangu ziko on the way.Wakiikataa we fanya kuedit bank statement
Hongera mkuu. Payoneer wako poa sana nmeanza itunia toka 2014 mpaka leo sijawahi pata shida nao kasoro kuna siku funds zilipotea kwa ulofa wa wangu na client baada ya kufanya wire transfer wakat payoneer haipokei wire transferAiseh, thanks mkuu. Wameukubali mkataba wa pango na kumaliza verification....na sasa funds zako ziko on the way.
Una maanisha nini payoneer hawapokei transfer?Hongera mkuu. Payoneer wako poa sana nmeanza itunia toka 2014 mpaka leo sijawahi pata shida nao kasoro kuna siku funds zilipotea kwa ulofa wa wangu na client baada ya kufanya wire transfer wakat payoneer haipokei wire transfer
Nimesema wire transfer sijasema transferUna maanisha nini payoneer hawapokei transfer?