Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Asante sana, wakati nasubiri j4. Hao watoto wa mjini nawahitaji bossVerification ni kwa ajili ya address?
Kama ni address jaribu kuwacheki vijana wa mjini wanatengeneza hizo utility bill fasta.
Kama huwezi lipa ili utengenezewe basi nenda bank husika urekebishe taarifa zako.
Zisomeke kwa mfumo huu;
KEROSINE BAL,
6 FOUR WAYS ROAD,NKUHUNGU
41XXX,
P.O.BOX 6788,
4144 DODOMA
Hizo taarifa zionekane. Address iwe inahusisha postal address sio P.O box pekee...
Good luck
Asante boss. Ngoja nisubiri j4Wengine wanaweza kuwa na njia tofauti na yangu, lakini kwa Payoneer hakikisha anwani uliyoandika kwenye website ya Payoneer na ile kwenye Bank Statement haina "P.O.Box" inapaswa iwe kwa mfano:
Michael Adam
Mbezi Salasala
Ilala
Dar es Salaam
Tanzania
Nenda uongee na Customer care wa benki yako wakupe process za kubadilisha, unaweza pia ukawaelezea jinsi unavyotaka bank statement yako ifanane kwenye upande wa Anwani na wanaweza kukusaidia. Mimi nilikaa nao na nikawaandikia jinsi inavyopaswa kuwa na wakanisaidia.
Nawezaje kuwapata Vijana wa Mjini kwa ajili ya Utility bill ?Verification ni kwa ajili ya address?
Kama ni address jaribu kuwacheki vijana wa mjini wanatengeneza hizo utility bill fasta.
Kama huwezi lipa ili utengenezewe basi nenda bank husika urekebishe taarifa zako.
Zisomeke kwa mfumo huu;
KEROSINE BAL,
6 FOUR WAYS ROAD,NKUHUNGU
41XXX,
P.O.BOX 6788,
4144 DODOMA
Hizo taarifa zionekane. Address iwe inahusisha postal address sio P.O box pekee...
Good luck
NafakaNawezaje kuwapata Vijana wa Mjini kwa ajili ya Utility bill ?
Njoo inboxNawezaje kuwapata Vijana wa Mjini kwa ajili ya Utility bill ?
I see you son!Njoo inbox
naomba unitumie msg inbox kuna changamoto napitia siwezi kutuma ujumbe na shida na utility bill.Njoo inbox